TZ biashara
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 523
- 107
-OVEN kubwa mbili zenye deki 4 na ni pana zenye kutumika kiwandani
-MIXER mashine kubwa 2 za kukandia unga ambazo zina ukubwa tofauti na nitaweka vipimo baadae(Moja haina mkono wa kukandia unga lakini unaweza kunipa order na kama sikosei bei yake ni £250 mpaka £300)
-MOULDER mashine moja ya kutengenezea au kukata na kupima kama sikosei scones( Record 30 piece automatic bun divider moulder)-Cover yake ya juu haionekani au imepotea.
- MASHINE moja ya kukatia mikate
-FRENCH BREAD MACHINE moja (kutengeneza mikate mirefu) au Turni Pinner Finger Moulder
-MOULDER mashine moja ya kutumia mkono ya kuweka mezani
-Plastic za kuwekea mikate kama sikosei 20 au 25 sina hakika.
-TREYS za kupikia mikate ambayo idadi yake nimeisahau na nimeshindwa kuingia stoo kutokana na nafasi ndogo
Hivi vitu vyote thamani yake ni kubwa kuliko bei ninayoiuza kwasababu ya hasara nahitaji milioni 20.Tatizo lingine ni OVEN moja lipo Dodoma na vitu vingine vipo DAR.Naomba kwa mwenye kuhitaji vifaa hivi anitumie ujumbe kupitia PM kutokana na kutokuwepo nchini na baadae nitaweza kumpa contact ya uhakika.