King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,371
- 88,582
sasa wewe ukisema pale mbagala pele ndo misesema nini? sema mbagala wapi (sehemu gani) wee fipiiii?!!
Mbagala sehemu/kiwanda gani Mkuu?
Pia DIT pale ni wazuri na wana bei nzuri
Ndio maana yake Mkuu, kitaalamu inaitwa INTERLOCKING BRICK PRESS MACHINE. But interlocking blocks zipo za aina tofauti. Machine hubadilika kutokana na aina ya matofali.
Asante kwa somo Mkuu. Kutokana na jibu lako kuwa mashine hubadilika kutokana na aina ya matofali, je, inahitajika kuwa na mashine zaidi ya moja katika ujenzi wa nyumba?
DIT kirefu chake ni nini na wako wapi?
Mkuu hii Machine inaoperate manually, hivyo inategemea sana nguvu zako na speed yako tu. Ni vyema ukajipima mwenyewe, au ukampima kijana unayetaka kumkabidhi (hakuna suala la machine kuchemsha hapa)
Huwezi ku estimamte kwa mwanamume wa wastani anaweza kupiga tofali ngapi kwa siku?
Nimewauliza wanasema average ya tofali 150 kwa siku kama una vijana wawili.Huwezi ku estimamte kwa mwanamume wa wastani anaweza kupiga tofali ngapi kwa siku?
Nilikuwa na vijana watatu walikuwa wanafyatua mifuko 10 ya cement kwa siku mfuko mmoja tofali 50Nimewauliza wanasema average ya tofali 150 kwa siku kama una vijana wawili.
But i doubt it!
We mtafute huyo jamaa kwenye Picha alieishika hiyo Mashine umuulize, atakua anajua tu,NAHITAJI MASHINE KAMA HII, NTAIPATA WAPI?
kuna zingine apo arusha kamatech, zinatengeneza matofal ya udongo yasiyo na cement at least haziitaji nguvu sana. na tofali ni saizi ndogo kama nusu ya hiyo unayoiona kwenye picha, bei 950,000 tzs.
sasa @ANKOJEI hii idia yako nami imenigusa,sasa unawezaje kunisaidia ili nipate mawasiliano na hawa jamaa wa kamatech,maana mimi nipo mkoani huku,utakuwa umeni-kampani sana yaani ili nifanyie kazi ushauri wako
Contact zao ni hizi hapa
The Director General, CAMARTEC, P. O. Box 764, Arusha, Tanzania.
Tel: +255272573222 OR +255 27 2553214
Email: carmatec@hotmail.com
Contact zao ni hizi hapa
The Director General, CAMARTEC, P. O. Box 764, Arusha, Tanzania.
Tel: +255272573222 OR +255 27 2553214
Email: carmatec@hotmail.com
sasa wewe ukisema pale mbagala pele ndo misesema nini? sema mbagala wapi (sehemu gani) wee fipiiii?!!
na wewe ushazoea kudesa upewe sehemu ya kuzipata ushauriwe na beiasanteni......mnaweza kushauri gharama pia?
duh interpreneur inabidi ubadili jina ujiite google lol! Full data maswali yote humu umeyajibu na umepata 100/100
ila kwa kuongezea tu hata mi ninayo kwa mfuko mmoja wa sement napata tofali 120 udongo natumia vumbi la mawe au wanaita ''morram'' mashine inahitaji kumwagiwa oil mara kwa mara ratio ya udongo na cement ni 1:40 maji ndoo 3 za lita 20 ila hii ratio inategemea na aina ya udongo na kiasi cha mfinyanzi kwenye udongo ila kuna mashine zake za kutumia disel au umeme zinatoa tofali zinazolingana na kwa siku fundi3 wanapiga tofali 500 wakichoka 400 ila haivunji kiuno na ukinunua mashine kwa hawa wa tba au nhbc wanatoa training bure kwa vijana utakao watumia kukufanyia kazi hadi wafuzu tayari kufanya biashara au kujengea nyumba yako. Yako economic unasave hela ila yanatumia maji mengi kumwagiliwa kama ya tofali za cement za kawaida. Ukihitaji tufanye biashara kwa anayetaka nauza tofali moja sh. 900 hapa utajenga nyumba bila kuwa fisadi
we mtafute huyo jamaa kwenye picha alieishika hiyo mashine umuulize, atakua anajua tu,
labda akubanie