Kwa kweli mimi sina uzoefu wowote kuhusu hizo mashine ndio mwanzo naanza ulizia. Mimi ni mtu wakutengeneza stika kwenye vichupa, wateja wangu wengi wamekua wakinishauri nitafute hiyo kitu kwa kua wanapata tabu sana.
Kwa maana nahitaji maelezo ya kina kwa anaefahamu hizo mashine na matumizi yake