Nsemwas Junior
Senior Member
- Oct 23, 2009
- 173
- 60
Habari wana jf,
nauza mashine mpya ya kutengeneza popcorn au kwa jina lingine mabisi au bisi.ni mashine niliyotengenezewa na fundi maarufu wa kimara ambaye ndiyo katengenezea watu wengi pale mwenge.tangu niitengeneze sijaifanyia kazi na sasa nina uhitaji wa ghafla wa hela kwa hiyo sina jinsi bali kuiuza.tafadhali tuwasiliane naiuza kwa bei nafuu sana 350,000 tu.hizi za kutengeneza ni bora kuliko za kichina,za kichina zinakufakufa hovyo tofauti na hizi locally made.nicheki 0765 -796778 msg,call,pm na hata whatssup.
Bei tutazungumza.
Dennis