malamsha shao JF-Expert Member Joined Sep 23, 2012 Posts 232 Reaction score 100 Jun 18, 2022 #1 Habari wakuu, kuna dogo anataka kuanza biashara ya kusajili line zote za simu kwa alama za vidole na kuuza line za simu. Amesema kuna mtu alimwambia anatakiwa awe na mashine ambayo ipo kama simu inaitwa famoco. Wenye uzoefu, msaada jamani.
Habari wakuu, kuna dogo anataka kuanza biashara ya kusajili line zote za simu kwa alama za vidole na kuuza line za simu. Amesema kuna mtu alimwambia anatakiwa awe na mashine ambayo ipo kama simu inaitwa famoco. Wenye uzoefu, msaada jamani.
Ok9 JF-Expert Member Joined Oct 5, 2013 Posts 4,556 Reaction score 4,169 Jun 18, 2022 #2 With famoco utasajilia voda Airtel na tigo. Unaweza pewa na kampuni ila wengi wanauza
Sikudokoa Mboga yako JF-Expert Member Joined Mar 13, 2022 Posts 457 Reaction score 955 Jun 19, 2022 #3 malamsha shao said: Habari wakuu, kuna dogo anataka kuanza biashara ya kusajili line zote za simu kwa alama za vidole na kuuza line za simu. Amesema kuna mtu alimwambia anatakiwa awe na mashine ambayo ipo kama simu inaitwa famoco. Wenye uzoefu, msaada jamani. Click to expand... He better find another job to do actually registering Sim card line should not be his main job at all.
malamsha shao said: Habari wakuu, kuna dogo anataka kuanza biashara ya kusajili line zote za simu kwa alama za vidole na kuuza line za simu. Amesema kuna mtu alimwambia anatakiwa awe na mashine ambayo ipo kama simu inaitwa famoco. Wenye uzoefu, msaada jamani. Click to expand... He better find another job to do actually registering Sim card line should not be his main job at all.
malamsha shao JF-Expert Member Joined Sep 23, 2012 Posts 232 Reaction score 100 Jun 24, 2022 Thread starter #4 Ok9 said: With famoco utasajilia voda Airtel na tigo. Unaweza pewa na kampuni ila wengi wanauza Click to expand... Halotel huwezi sajili mkuu?
Ok9 said: With famoco utasajilia voda Airtel na tigo. Unaweza pewa na kampuni ila wengi wanauza Click to expand... Halotel huwezi sajili mkuu?
Ok9 JF-Expert Member Joined Oct 5, 2013 Posts 4,556 Reaction score 4,169 Jun 24, 2022 #5 malamsha shao said: Halotel huwezi sajili mkuu? Click to expand... Kwa simu yako. Ila famoko haifanyi
malamsha shao said: Halotel huwezi sajili mkuu? Click to expand... Kwa simu yako. Ila famoko haifanyi
okiwira JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 3,449 Reaction score 3,831 Jul 4, 2022 #6 Kampuni ya voda wenyewe wanauza tsh ngapi hi mashine ya famoco? kwa anayejua?
g vizy JF-Expert Member Joined Jan 5, 2016 Posts 937 Reaction score 1,035 Jul 7, 2022 #7 okiwira said: Kampuni ya voda wenyewe wanauza tsh ngapi hi mashine ya famoco? kwa anayejua? Click to expand... Famoco ni nyingi mkuu Kuna ma fleerancer wengi tu wanauza sio lazima uende Kwa kampuni husika
okiwira said: Kampuni ya voda wenyewe wanauza tsh ngapi hi mashine ya famoco? kwa anayejua? Click to expand... Famoco ni nyingi mkuu Kuna ma fleerancer wengi tu wanauza sio lazima uende Kwa kampuni husika
NCHABHILONDAA Member Joined Jul 5, 2022 Posts 39 Reaction score 24 Aug 19, 2022 #8 okiwira said: Kampuni ya voda wenyewe wanauza tsh ngapi hi mashine ya famoco? kwa anayejua? Click to expand... 150,000 inategemeana na makubaliano yenuu
okiwira said: Kampuni ya voda wenyewe wanauza tsh ngapi hi mashine ya famoco? kwa anayejua? Click to expand... 150,000 inategemeana na makubaliano yenuu