Salama wana wapendwa. Nahitaji mashine ya kupukuchua mahindi. Niko mwanza mjini. Kuna namba ambazo nomechukua hapa jukwaani lakini wahusika hawapatikani. Kuna moja kutoka Zanzibar na ingine ngome. Wasiliana nami kwa 0754710823
Sent using
Jamii Forums mobile app