Unaposema gunia moja kubwa hueleweki sema ni kilo ngapi kwa uo muda? Pia naona bei yako iko juu sana nanenane nilikuta ya mil1 na laki tatu inapukucha zaidi ya icho kiwango kwa muda huo
Unaposema gunia moja kubwa hueleweki sema ni kilo ngapi kwa uo muda? Pia naona bei yako iko juu sana nanenane nilikuta ya mil1 na laki tatu inapukucha zaidi ya icho kiwango kwa muda huo
Hii inatumia umeme. Unit 50 za umeme single phase kwa week. Zile za diesel gharama ya mafuta inakuwa kubwa ndio maana inauzwa kwa bei hiyo. Gunia la kilo 100 lililojazwa mahindi ndio hupukuchuliwa ktk muda huo. Ila tunaweza negotiate bei
Pia tuna mashine nyingine km concrete mixer manual 400,000, honey extractor 200,000, ya kutengenrza mkaa wa kisasa manual 400,000 yenye mkaa pisi kubwa nk