Habari ya asubuhi wadau, natumaini mpo salama na mnaendelea na majukumu ya kila siku.
kwa yeyote mwenye information wapi naweza kupata mashine na vifaa vinavyotumika katika screen printing business hapa Dar naomba anijuze. vifaa/materials kama squegees, mesh, colors nk.
natanguliza shukrani na Mungu awabariki..
ni vyema ukishangalia online maduka ya kule wanayouza na kuagza na kulipia hivyo vitu ni vyema ukaonana na hawa HOME SHOPING CENTRE wao ni watu wa clearing watakuletea mzigo wako hadi mlango ukiwapa address kamili ya kwako
nenda kwanza kuonana nao usiwe mwepesi kuwapa hela ya ushuru wa mzigo ongea nao uone wanafanyaje kisha anza kufanya mkataba nao wa kulkuletea mzigo wako kama utaridhika nao ni watu wasio na longolongo watakusaidia
Cheki huko ila kama ukikosa mimi naweza kukuachia hii hapa yangu ni mpya bado sijaitumia jinsi inavyofanya kazi unaweza kucheki hapa
Huwezo wa hii machine ni kuprint rangi 8 bila interfearance yoyote na speed yake ni kubwa https://www.youtube.com/watch?v=VqY83cPQQUI