Mashine ya kukamulia Miwa inahitajika

Mashine ya kukamulia Miwa inahitajika

boy future

Member
Joined
Feb 11, 2015
Posts
27
Reaction score
3
Habari wana jamii natumaini mko poa. Kama nilivyosema hapo juu,mi ni mfanyabiashara huku niliko na nimedhamiria kuanzisha biashara ya kukamua miwa kwa juisi ila tatizo mashine. Hivyo naomba kama kutakuwa na mtu yeyote anayefahamu mashine hizo zinapopatikana na bei yake anijulishe au kama kuna mtu anayo n anataka kuiuza anitafute kwa no 0755227750/0672987051 tigo.

Asanteni sana
 
Back
Top Bottom