Mashine ya kuchomea.

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
tafadhali mwenye kujua kuhusu hizi mashine za kuchomea aniambie. naweza pata wapi ka kwa bei gani.
 
tafadhali mwenye kujua kuhusu hizi mashine za kuchomea aniambie. naweza pata wapi ka kwa bei gani.

kuhusu mashine za kuchomea (welding machines), za kucharge batteries, za kupandisha umeme hasa kwa sehemu zilizo na low current zinajulikana kama (step up), zenye uhakika na guarantee ya miezi 12 nipigie 0713322856
 
cheki picha za welding machine, kwa wanahitaji tuwasiliane bei 300000 per piece, guarantee mwaka mzima
 
Attachments

  • 1391165196008.jpg
    76.5 KB · Views: 264
  • 1391165243494.jpg
    75.7 KB · Views: 244

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…