M Mabala21 Senior Member Joined Jul 24, 2021 Posts 146 Reaction score 100 Dec 18, 2024 #1 Wadau salaamu! Naomba muongozo wapi nitapata mashine ya mashine ya kubangua karanga ya umeme na isiyokata karanga wakati wa kupangua. Brand ipi inafaa na wapi nitapa kwa wanaojua. Asante sana.
Wadau salaamu! Naomba muongozo wapi nitapata mashine ya mashine ya kubangua karanga ya umeme na isiyokata karanga wakati wa kupangua. Brand ipi inafaa na wapi nitapa kwa wanaojua. Asante sana.
malamsha shao JF-Expert Member Joined Sep 23, 2012 Posts 233 Reaction score 100 Jun 18, 2025 #2 Wakuu hivi zile mashine za kichina za kubangua na kupeta karanga zenye magurudumu mawili zinauzwa bei gani?
Wakuu hivi zile mashine za kichina za kubangua na kupeta karanga zenye magurudumu mawili zinauzwa bei gani?
Muimba SINGELI JF-Expert Member Joined Dec 25, 2024 Posts 4,211 Reaction score 10,864 Jun 18, 2025 #3 Ngoja waje kukupa mwongozo...