Anae hitaji mashine ya kukamua alizeti,
soya,
karanga zenye maganda,
tung seed,
flax seed,
mbegu za pamba,
palm kernel.
Mashine moja inayoweza kufanya kazi zote izo inaitwa YZYX70, YZYX90,
YZYX10(95), YZYX10-6/8/9.
Kutokana na mabadiliko ya teknologia, tumeona namna ambavyo kwa sasa zinatengenezwa mashine ndogo na zenye tija katika kazi zetu za kila siku. Leo ntaenda kuzungumzia mashine za kisasa kabisa za kukamua alizeti,
"Jiunge group letu la telegram tukujulishe zaidi kuhusu mashine;
Telegram"
Anae hitaji mashine ya kukamua alizeti, soya,karanga zenye maganda, tung seed, flax seed, mbegu za pamba,palm kernel. Mashine moja inayoweza kufanya kazi zote, inaitwa
1. YZYX70, YZYX90,YZYX10(95), YZYX10-6/8/9, Na zinatofautiana kwa uwezo.
Tukianza na ya kwanza kabisa hapo, mashine inayoitwa, YZYX70,inaweza ikasaga magunia 10 ndani ya masaa 24 au kwa siku.
Pia inatumia unit za umeme 96 kwa siku.
Uzito wake ni kilo 195.
Tukija kwenye hii ya pili YZYX10(90),
Hii inakamua hadi gunia 30 ndani ya masaa 24.
Pia inatumia unit za umeme 132 kwa siku.
Uzito wake ni kilo 235
Kwa hii inayoitwa YZYX10(95),
Hii naenda hadi magunia 40 kwa masaa 24
Inatumia unit 264 kwa masaa 24.
Na ina uzito wa kilo 528
Kuna nyingine kubwa Zaidi inaitwa YZYX10-6/8/9
Hii aina tofauti sana na iyo tulioitaja apo juu, lakini imeboreshwa.
Na inaweza ikasaga magunia 40 na nusu ndani ya masaa 24.
Umeme inatumia unit 264 ndani ya siku.
Na ina uzito wa kilo 590.
Agiza kutoka china mashine zote izi kwa bei ya viwandani na tukuletee mpaka mlangoni.
Kumbuka mashine izi unaweza ukaagiza kwa kupitia kampuni ya
AA TANCH Trading Company iliyopo Arusha Tanzania. Au Tupigie kwa namba 0756 591 943.
(
Angalia mashine izi kutokea China)