Mashine ya juice ya miwa

Sasa nenda kaulize mahali kama machine ya miwa mpya hata zile za kuetengeneza kariakooo ni sh ngapi shida sio jinsi material waliounda kaka lyamber shida vile vifaaa vya kutengenezea machuma motor zile.na vitu vingine ni gharama bro
 
juice ya miwa tamu na nzuri ila nikiangaliaga wanavyoaanda mama yangu hamu inakata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…