TRA wanatoa mashine bure kutegemea na aina ya biashara, wakijiridhisha biashara yako haina mtaji au uwezo wa kununua mashine, pia wanadai hata ukinunua kuna jinsi yakureshewa pesa wakimaanisha mashine ni mali ya TRA.

Ndiyo aende huko, ulisikia wapi mashine za EFD zinauzwa second hand au kutoka kwa mtu mkononi kama atakavyo mleta mada? Aende TRA akafanyiwe mambo yake rasmi.
TRA wanatoa mashine bure kutegemea na aina ya biashara, wakijiridhisha biashara yako haina mtaji au uwezo wa kununua mashine, pia wanadai hata ukinunua kuna jinsi yakureshewa pesa wakimaanisha mashine ni mali ya TRA.
Hicho unachosema kilikuwepo ila sio sasa. Nenda ukaulize vizuri utaratibu wa sasa. Ingekuwa wanazigawa bure basi kila mfanyabiashara angekuwa na kimashine.
Phase 1 iliyoanza mwaka 2009/2010 ndio mlipa kodi alikuwa anarudishiwa gharama za kununulia mashine kwa mfumo wa makato kwenye kodi yake.
Phase 2 iliyoanza mwaka 2013 mwezi july hadi sasa haijahusisha kumrudishia mlipa kodi gharama za mashine.
Mwaka 2016 TRA walitangaza zoezi la utoaji EFD bure na kusema litaanza Jijini Dar kwa mwezi mmoja kila mkoa, ambapo lilifanyika mwezi wa sita - june . Dar lilifanyika na sasa limekwisha na mikoani bado.