Nenda kwa wakala alikuuziaHabari ndugu zangu,
Nina machine ya EFD incotex133 amekuja mteja nikataka kumtolea risiti nimefanya transaction zote lakini haitoi risiti nimejaribu mara mbili lakini imegoma.
Sasa itakuwa tatizo ni nini maana naogopa kujaribu mara nyingi nikajiwekea pesa nyingi.
Muache bwana,si ndo anaipenda nchi yake..acha alipie Wengine vyuma havijakaza mkuuu..ila mimi risiti sikutolei walai ukitaka chukua hela ako sepa.Achana nayo au ww unaona raaaha kuibonyeza bonyeza?
Kodi kodi kodi halafu zina finance uhalifi dhidi ya ubinadamu mxiewwww
hiyo elimu umeitoa wapi?Wakati unatoa risit jaribu kuisapot kwa kuivuta kwa mkono risit ....opc za mashine zimeisha au mota imejaa kabon ndani
Hivyo inakosa nguvu ya kuzungusha
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣MKWEPA KODI Njoo utoe ushauri huku