Mashine ndogo za karanga za umeme zinapatikana wapi ?

Karanga za umeme sa ndo karanga zipi? Umeme unazalisha karanga? Mkuuu hata kujieleza vizuri huwezi?!
Sasa hizo machine ziwe zinazalisha karanga? Zina saga karanga? Zinamenya karanga? Zinakaanga karanga? Zinapika karanga?

Well kama upo dar jaribu business millennium park pale shekilango opposite na total gas station kuna wachina wana machine machine unaweza bahatisha, au tembelea SIDO iliyo karibu na wewe? Au ingia allibaba.com, madeinchina.com online huko utazipata
 
Sikiliza bwana Zegebovu nikuambie Mimi nauliza za kusagia karanga naomba nisaidie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom