Mashine mpya ya popcorns inauzwa

mtafuta-maisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
1,982
Reaction score
2,934
Haijawahi kutumika ni mpya kabisa.
Inakuja na coil ya spare
Inakuja na cups 25 bure.
Bei 350,000
Inapatikana madale wazo, dar es salaam.
 
Hii post ya kuongeza kipato haina post za kutosha why?????????
Hapa ndio unsjua akili za wa tz zilivyoathirika
 
Mmm nauza kama huio tena Dukani 300,000/ popote nakuletea
 
Huu ni uchawi ujue mkuu kwanini usingeanzisha thread yako au wadhani kuwa mchawi mpaka ujifunge kaniki ukaroge?
Wallah nimecheka mpka basi [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Mkuu huo ni uchawi yani ni sawa umefungua duka unauza bidhaa flani atoke huko jamaa aweke meza mbele ya mlango wa duka lako awe anauza bidhaa ile ile kwa bei ya chini yako...
Kama siyo uchawi utasema ni nini?
Ni afadhali afungue frem inayofuata, sasa huyu baada ya kuona tangazo langu angeenda akafungua thread yake sasa mwenyewe hajitangazi na mashine zake anasubiri tunaojitangaza avamie thread zetu huyu ni mchawi.
 
ngoja na mm nikusadie

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…