Mme na mke kila siku kushindana kwenye familia,mpaka maisha yakawa kama yakuboa maana kila kitu kidogo lazima washindane,mme aliudhika kweli maana kila siku mke ndo anashinda,kila kitu kidogo mke lazima ashinde.
Siku moja mme akaenda bar,akaanza kupiga stori na mshikaji wake,akamwambia bhana mi kila kitu tukishindana mke wangu lazima anishinde,hebu nishauri nifanye kitu gani nimshinde??Mshikaji akatoa idea kwamba ukirudi nyumbani,mwite mkeo nje,anzeni kukojoa kwenye ukuta wa nyumba halafu angalieni nani karusha mkojo juu zaidi ya mwenzake ukutani.
Mme aliporudi nyumbani akamwita mkewe zoezi la kukojoa ukutani likaendelea,mke akaanza,akawa kafikia mita mbili.
Ikafika zamu ya mme,ile anafungua zipu mke akamwambia,anza lakini hakuna kushika kwa mkono.