Ungeeni na milard ayo tukio liwe live youtube tatizo mnapofeli ni sehemu moja tu huwa hatuoni hata video clips za fainali ilikuwaje mnaishia kutuletea taarifa ya kuwa kutakuwa na mashindano tu
Hapo kweli kuna ugumu ila mkiongea nao wao kama watangazaji wanaweza kujua cha kufanya hata kutengeneza documentary na mjumuiko wa video clips ukawekwa mtandaoni na tukauona baada ya mashindanoWazo zuri sana hili.
Changamoto ni gharama, maana Fainali au Game za mitoano zinakuwa ni games 24, sasa imagine game 24 zitatumia muda gani?
Hapo kweli kuna ugumu ila mkiongea nao wao kama watangazaji wanaweza kujua cha kufanya hata kutengeneza documentary na mjumuiko wa video clips ukawekwa mtandaoni na tukauona baada ya mashindano
Mashindano makubwa ya Draft Tanzania yanatarajiwa kufanyika Tar 7 July, 2021
Mshindi wa kwanza anatarajiwa kuondoka na kitita cha shilingi 700,000/-.
Yamepangwa kufanyikia Kinondoni Manyanya.
Mafundi wote unaowajua wanatarajiwa kuwepo.
Baadhi ya mafundi wanaotarajiwa kuwepo ni:
Ronaldo (Field Marshall), Noel, Issa (Meno ya Mamba), Nduli, Dogo Sisqo, Dogo Yassin, Simba Dodoma, Shabani Katoto, Hemedi Gaidi na wengine wengi.
Mtaalamu Mkuu wa Madraft Mr Mangwelele atakuwa mmoja wa waratibu.
Tutaendelea kupeana updates za nini kitakachojiri na kama kuna mabadiliko yoyote.
Ntafurahi nikisikia mmefanya hivyo. Wao wanajua ni kazi yao wanaweza kushauri na kupromot zaidi shindano hilo na hata kulifanya lisikike nchi nzima na kusababisha hata wadhamini kujitokeza zaidi kwa mashindano yajayo who knows? Leo laki saba kesho mnajikuta washiriki wanagombania milioni tano!!!Nitajaribu kuongea na Millard, anaweza kushauri nini cha kufanya.
Faida moja ya kupata coverage kwa Millard inaweza kuongeza au kupata wadau wanaoweza kushauri nini cha kuongeza kwenye mashindano.
Ntafurahi nikisikia mmefanya hivyo. Wao wanajua ni kazi yao wanaweza kushauri na kupromot zaidi shindano hilo na hata kulifanya lisikike nchi nzima na kusababisha hata wadhamini kujitokeza zaidi kwa mashindano yajayo who knows? Leo laki saba kesho mnajikuta washiriki wanagombania milioni tano!!!
Na hayo mambo yamo tena?/ π€£ππ€£ππ€£