1. Ligi itakuwa ya makundi kwa maana yatakuwepo makundi ma nne kila kundi litakuwa na wachezaji wasio punguwa watano
2. Kila kundi litatoa wachezaji wa wili jumla watakuwa 8 wataenda moja kwa moja kwenye robo
3. Aina ya michezo itakayo chezwa
kwenye makundi itakuwa miwili mmoja wa nyumbani mmoja wa ugenini
kuanzia hatua ya robo mpaka fainali itapigwa oj14
5. Ligi haitakuwa na kiingilio imedhaminiwa na Eng kitova
4. Zawadi zitakuwa kama ifuatavyo
mshindi 1 -50000/=
mshindi 2 -30000/=
mshindi 3 - 20000/=
5. Uamtaratibu wakwenda kwenye mashindano utakuwa kama ifuatavyo
mshindi wa kwanza atagharamiwa na kamati ya mashindano
mshindi wa pili atagharamiwa kila kitu na mdhami wa mbeya Eng kitova. +255 652 572 142
Washiriki watakoa shiriki kuwatafuta wawakilishi wa wa mkoa wa mbeya
- maeneo yatakayo toa washiriki
1. Ilomba
2. Mbalizi
3. Sokomatola
4. Kabwe & songwe
- ilomba
1. Kenny mabao
2. Hance
3. Kiduku
4. Ticha kibegi
5. Mwasapile
6. Raisi wa ilomba