Mashimo ya choo ya kisasa

Mashimo ya choo ya kisasa

Kicheche mkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2021
Posts
212
Reaction score
225
Habari....tuna offer kwa ajili ya mashimo ya choo yasiyo jaa! Natoa offer ya kununua mabomba na kujenga chemba zote...karibu boss MIKOA YA DSM, NA PWANI YOTE Shimo moja kwa laki 8 na mashimo mawili kwa 1.2 Million kwa Dsm Tu. MIKOANI Mikoani Shimo moja ni Million 1 na mashimo mawil ni million 1.4 gharama hii inajumuisha ufundi na material....Nauli kuja na kurudi tutajilipia wenyewe! 0789005562 au Gusa link hii kuja wasap Wa.me//2 55789005562
FB_IMG_1740103367217.jpg
FB_IMG_1740103350665.jpg
FB_IMG_1740103358007.jpg
 
Hivi hapo haliporomoka kama ardhi ya arusha inavotanuka na kusinyaa
 
Enewei! Tuyaache hayo!
Naomba mnifollow, mnisaidie kuretweet iwafikie wengi!

Ni fundi wa mashimo ya choo ya kisasa

Mfumo wa shimo moja la tofari tutakujengea kwa laki 8 (Dsm) na mikoani million 1

Mfumo wa mashimo mawili tofari na mawe tutakujengea kwa million 1.2 (Dsm) na mikoani tutafika kwa Million 1.5

📸 Angalia baadhi ya kazi zangu hapa 👇👇



📞 Wasiliana nami leo kwa:
📱 0789 005 562
📱 0719 205 562

Namba zote zipo WhatsApp

📍Temeke - Dar es Salaam
🔨 Kazi nzuri hujiuza yenyewe – lakini tangazo linaongeza kasi!

#FundiUjenzi #UjenziTanzania #DarEsSalaam #KelvinHK #NyumbaZaKisasa
 

Attachments

  • biodigester_septic_tank_-20240305-0002.jpg
    biodigester_septic_tank_-20240305-0002.jpg
    230.4 KB · Views: 14
  • IMG_20240330_172718_2.jpg
    IMG_20240330_172718_2.jpg
    423.6 KB · Views: 15
  • FB_IMG_1736493299533.jpg
    FB_IMG_1736493299533.jpg
    36 KB · Views: 12
  • FB_IMG_1736493309670.jpg
    FB_IMG_1736493309670.jpg
    60.7 KB · Views: 12
  • FB_IMG_1736493305954.jpg
    FB_IMG_1736493305954.jpg
    77.2 KB · Views: 13
  • FB_IMG_1736493315196.jpg
    FB_IMG_1736493315196.jpg
    70.4 KB · Views: 12
Kicheche mkali ya kawaida yanayojaa hujengi? Kama unajenga ni bei gani material na ufundi.
Futi 9 upana, futi 12 urefu. (9X12)
Kuchimba. Tsh 250,000
Kujenga Tsh 250,000
Blocks 400. Tsh 400,000
Cement 12. Tsh 204,000
Mchanga. Tsh 60,000
Kokoto Tsh 90,000
Nondo 10. Tsh 220,000
Mbao (1X5) 18. Tsh 108,000
Mbao (2X4) 5. 25,000
Binding wire. 3,000

TShs. Tsh 1,610,000/=

0789005562
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom