Mashimo ya choo ya kisasa

Mashimo ya choo ya kisasa

Inout

New Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
2
Reaction score
0
Habari wakuu! Poleni kwa mihangaiko ya kutafuta riziki, lakini pia Mola mlezi mtukufu atukinge na janga hili la kidunia Covid -19 huku tukiendelea kuchukua tahadhari zilizoainishwa na wataalamu wa afya !

Aidha, tunatoa huduma ya uchimbaji mashimo ya choo ya kisasa na yenye uwezo wa kukaa muda mrefu bila kujaa.

Tunapatikana Dar es salaam lakini tunatoa huduma katika mikoa yote ya Tanzania.
Kupata huduma hii wasiliana nasi kupitia 0768063741 au 0769144451.

Karibuni!

IMG-20200329-WA0042.jpeg
IMG-20200328-WA0008.jpeg
IMG-20200328-WA0003.jpeg
IMG-20200328-WA0007.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina range kuanzia kiasi gani (minimum price) mpk kiasi gani (maximum price) tuwekee kiongozi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom