Morocco forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,121
- 6,879
Sababu:
1. Walitaka kuvunja muungano ndio maana ya uamsho.
2. Zanzibar iwe na utawala wa sharia badala ya sheria ( mtu akiiba akatwe mkono)
3. Kuchochea vurugu
4. Inasemekana kati ya hao masheikhe kuna vibaraka wa waarabu na wangefanikisha tu issue ya kuvunjaa muungano basi wanarudi kuchukua kisiwa chao.
Mambo ni mengi na kesi yao ni ngumu sana ila kwenye media huku watu wanatetea vitu wasivyovijua
Kama ndiyo hivyo acha wateseke.
Eti inasemekana vibaraka wa waarabu, yani unaongea vitu usivyovijua ilimradi tu udanganye umma. Acha hivyo mkuu.
Ebu tuambie waarabu wa wapi hao? Kwanza zanzibar ina mchanganyiko watu aina ya watu tofauti, wakiwemo na waarabu pia ambao wengiwao ni wazawa wa pale, na znz asilimia zaidi ya tisini ni waislamu. Sasa utasema nchi hiyo ni ya kikristo!!! Kuwa serious mzee! Wazanzibari Wana haki kudai haki yao, na muungano uvunjwe ili wawe huru, na misaada mingi watapokea kutoka arab/europe countries. Acheni wivu
Ugaidi upi walio ufanya na wapi walifanya?Magaidi hawapaswi kuachiwa .
Mbona unaongea uongo ni bendera zipi walizozishusha na walizishusha ktk kijiji gani maana wajifanya ww unaijua unguja kutushinda sisi ambak mababu zetu wamezalia huku pamoja na ma bibi zetu ww ulikuja unguja kwa kuja kununua tv hapa mtendeni sahivi unajifanya mwenyeji kutushinda sisi tulio zaliwaIpo hv mkuu, uzuri nilikuwepo Unguja kipindi sakasaka hili linatokea, masheikh wa miadhara (uhamsho) wao walikuwa na ajenda yao kubwa ya kuamsha wazanzibar waliolala juu ya swala zima la nchi yao, wao kipindi wapo walikua wanawakumbusha wazanzibar kuwa si ccm wala chadema wala CUF itakayowakomboa kutoka kwenye maisha ya dhiki bali ni kufata mwenendo wa quraan na sunna za mtume.
Hawa masheikh hawakuvutiwa na CUF wala chadema wao walikuwa na sera yao kuwa demokrasia ni ukafiri ndio maana kila walipokuta bendera ya CUF au CCM wao walikua wakizishusha na kupandisha zao ambazo zina rangi nyeupe tupu na maandishi meupe kati yaliyosomeka kwa kiarabu hakuna mola anaepaswa kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah na muhammad ni mjumbe wa mwenyezi mungu, wao wao walikuwa wanaamini kuwa kwa umoja wao basi walikua na uwezo wa kuiforce serikali ya CCM kutoka madarakani na wao kuchukua mamlaka kamili, nakumbuka wakati huo mambo mengi yalijitokeza wanawake waliovaaa nusu uchi walipigwa fimbo sn mitaani na vijana wafuasi wa uhamsho, walipinga sana siasa ndani ya Zanzibar maana wao hawakuwa na chama, wakawa wanadamana kudai mamlaka kamili ndiipo serikali iliposhtuka na kuona hawa watu wakiachiwa mambo yataharibika Muda si mrefu ndio ikabidi wakamatwe.
Na ndio wakati huo huo viongozi baadhi wa makundi ya kijihad waliwakebehi uhamsho kwa style yao ya kutaka utawala utolewe na kuuita style za kizamni bimana kwenye uislam hakuna maandamano , hivyo walitakiwa washike silaha na kuutoa udhalimu. Note sina uhakika sn inavyosemekana kukamaktwa kwa wale watu agizo lilitoka marekani na kusema hao watu ni htr sn hvy wakamatwe kwa makosa ya ugaidi wapo wanaodai kuna viongozi wa uhamsho walifanya training kandahar, na wakati huo raia wa kigeni huko zenji kipindi cha uhamsho walikutwa na madhira mengi sana like kumwagiwa tindi kali na kufanyiwa vitendo visivyofaa. hayo ndio yaliyowasibu uhamsho hadi leo America wanatazama kwa jicho la mwewe if watatoka au laa kesi ngumu.
View attachment 1750627
Na IlungaWote magaodi, sawa na sheikh rogo
Hahahaahah.Mbona unaongea uongo ni bendera zipi walizozishusha na walizishusha ktk kijiji gani maana wajifanya ww unaijua unguja kutushinda sisi ambak mababu zetu wamezalia huku pamoja na ma bibi zetu ww ulikuja unguja kwa kuja kununua tv hapa mtendeni sahivi unajifanya mwenyeji kutushinda sisi tulio zaliwa
Uhuru kamili ndio wachome makanisa, kuua na kumwagia tindikali viongozi wadini?. Hako ka kikundi ni al-shabab ndogo.Hawa masheikh wa uamsho walikuwa wanataka uhuru kamili wa Zanzibar yaan kujitenga, ni tofauti na masheikh wa Arusha walio walio pewa kesi za ugaidi.
Acha uongo ,kesi ya kimataifa katika domestic court wapi na wapi? Kesi ya kimataifa na watuhumiwa na raia wa nchi hiyo hiyo walimoshtakiwa wapi na wapi?Hii kesi ya hawa mashekhe ni kesi ya kimataifa sio rahisi kama mnavyodhanini ndugu zanguni!
Huyo mama mpaka azipitie kesi kwani yeye Ni jaji? Ana elimu ya sheria?Ni jambo la kheri sana, Mungu Allah Yahwe amsimamie Mama yetu katika kufanya haki
Mama pia azipitie kesi zote za kubambika zinadhulumu haki ya Maelfu ya Roho
Kama wasipopelekwa mahakamani ,ni nani atawahukumu? Muwe mnatumia akili kufikiri na siyo masaburi.kama ipo hivo hicho ni kifungo cha Maisha Automatically, hapo hata mahakamani hawatopelekwa
Okay sawa.Ipo hv mkuu, uzuri nilikuwepo Unguja kipindi sakasaka hili linatokea, masheikh wa miadhara (uhamsho) wao walikuwa na ajenda yao kubwa ya kuamsha wazanzibar waliolala juu ya swala zima la nchi yao, wao kipindi wapo walikua wanawakumbusha wazanzibar kuwa si ccm wala chadema wala CUF itakayowakomboa kutoka kwenye maisha ya dhiki bali ni kufata mwenendo wa quraan na sunna za mtume.
Hawa masheikh hawakuvutiwa na CUF wala chadema wao walikuwa na sera yao kuwa demokrasia ni ukafiri ndio maana kila walipokuta bendera ya CUF au CCM wao walikua wakizishusha na kupandisha zao ambazo zina rangi nyeupe tupu na maandishi meupe kati yaliyosomeka kwa kiarabu hakuna mola anaepaswa kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah na muhammad ni mjumbe wa mwenyezi mungu, wao wao walikuwa wanaamini kuwa kwa umoja wao basi walikua na uwezo wa kuiforce serikali ya CCM kutoka madarakani na wao kuchukua mamlaka kamili, nakumbuka wakati huo mambo mengi yalijitokeza wanawake waliovaaa nusu uchi walipigwa fimbo sn mitaani na vijana wafuasi wa uhamsho, walipinga sana siasa ndani ya Zanzibar maana wao hawakuwa na chama, wakawa wanadamana kudai mamlaka kamili ndiipo serikali iliposhtuka na kuona hawa watu wakiachiwa mambo yataharibika Muda si mrefu ndio ikabidi wakamatwe.
Na ndio wakati huo huo viongozi baadhi wa makundi ya kijihad waliwakebehi uhamsho kwa style yao ya kutaka utawala utolewe na kuuita style za kizamni bimana kwenye uislam hakuna maandamano , hivyo walitakiwa washike silaha na kuutoa udhalimu. Note sina uhakika sn inavyosemekana kukamaktwa kwa wale watu agizo lilitoka marekani na kusema hao watu ni htr sn hvy wakamatwe kwa makosa ya ugaidi wapo wanaodai kuna viongozi wa uhamsho walifanya training kandahar, na wakati huo raia wa kigeni huko zenji kipindi cha uhamsho walikutwa na madhira mengi sana like kumwagiwa tindi kali na kufanyiwa vitendo visivyofaa. hayo ndio yaliyowasibu uhamsho hadi leo America wanatazama kwa jicho la mwewe if watatoka au laa kesi ngumu.
View attachment 1750627
Sio hukumu wala kesi haijasikilizwaMimi kinachonishangaza kwanini hukumu haitolewi miaka zaidi ya 7 sasa ijulikane kama mtu kafungwa anatumikia miaka 20 ikiisha aachiwe huru.
Kwanza kabisa hawa Masheikh wakati wanakamatwa Marais walikuwa ni Kikwete Muislam na Dkt. Shein muislam. Sasa hadi leo Marais ni Samia muislam na Dkt Hussein Mwinyi Muislam.
Lakini kila siku tunasikia hawa Masheikh 'wanaonewa' Kwa kukaa rumande miaka mingi bila kesi yao kupelekwa mahakamani.
Kuna mtu mwenye 'ukweli halisi' Atusaidie? Nini hasa kinaendelea?
Kuwa kiongozi wa dini haimaanishi uko juu ya sheria na kwamba ujifanyie mambo km unavyojisikia. Hawa watu wachache wanaotumia dini kugawa watu lazima wabanwe kwa masilahi mapana ya nchi.ndio kuna ma sheikh wengi katika gereza la kisongo arusha
Mbona unaongea uongo ni bendera zipi walizozishusha na walizishusha ktk kijiji gani maana wajifanya ww unaijua unguja kutushinda sisi ambak mababu zetu wamezalia huku pamoja na ma bibi zetu ww ulikuja unguja kwa kuja kununua tv hapa mtendeni sahivi unajifanya mwenyeji kutushinda sisi tulio zaliwa
Duh.... aiseeIpo hv mkuu, uzuri nilikuwepo Unguja kipindi sakasaka hili linatokea, masheikh wa miadhara (uhamsho) wao walikuwa na ajenda yao kubwa ya kuamsha wazanzibar waliolala juu ya swala zima la nchi yao, wao kipindi wapo walikua wanawakumbusha wazanzibar kuwa si ccm wala chadema wala CUF itakayowakomboa kutoka kwenye maisha ya dhiki bali ni kufata mwenendo wa quraan na sunna za mtume.