Jee wale waliokuwa wanaenda kugongewa usiku usiku na kukamatwa kisha kupandishwa ndege na kupelekwa magereza ya bara hadi Leo nao pia muamsho!?
Kuna mengi yamejificha. Mungu ndie Ajuae.
Maana kama wana hatia kesi zao zingesikilizwa na hukumu kutolewa why all these years bila kesi kusikilizwa wala updates zozote kutolewa hadharani!!?
Inafikirisha.
Salmin aliwaweka ndani wapinzani kwa visingizio vya ugaidi miaka zaidi ya mitatu alipoingia Shein tu madarakani aliwachia huru. Why not hawa masheikh? Viongozi na watawala wanapishana kwa nini hawaachiwi huru au hata kesi zao kusikilizwa!!???
Duuh,kumbe.ni hatariIpo hv mkuu, uzuri nilikuwepo unguja kipindi sakasaka hili linatokea, masheikh wa miadhara (uhamsho) wao walikuwa na ajenda yao kubwa ya kuamsha wazanzibar waliolala juu ya swala zima la nchi yao, wao kipindi wapo walikua wanawakumbusha wazanzibar kuwa si ccm wala chadema wala cuf itakayowakomboa kutoka kwenye maisha ya dhiki bali ni kufata mwenendo wa quraan na sunna za mtume.
Hawa masheikh hawakuvutiwa na cuf wala chadema wao walikuwa na sera yao kuwa demokrasia ni ukafiri ndio maana kila walipokuta bendera ya cuf au ccm wao walikua wakizishusha na kupandisha zao ambazo zina rangi nyeupe tupu na maandishi meupe kati yaliyosomeka kwa kiarabu hakuna mola anaepaswa kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah na muhammad ni mjumbe wa mwenyezi mungu, wao wao walikuwa wanaamini kuwa kwa umoja wao basi walikua na uwezo wa kuiforce serikali ya ccm kutoka madarakani na wao kuchukua mamlaka kamili, nakumbuka wakati huo mambo mengi yalijitokeza wanawake waliovaaa nusu uchi walipigwa fimbo sn mitaani na vijana wafuasi wa uhamsho, walipinga sn siasa ndani ya zanzibar maana wao hawakuwa na chama, wakawa wanadamana kudai mamlaka kamili ndiipo serikali iliposhtuka na kuona hawa watu wakiachiwa mambo yataharibika Muda si mrefu ndio ikabidi wakamatwe.
Na ndio wakati huo huo viongozi baadhi wa makundi ya kijihad waliwakebehi uhamsho kwa style yao ya kutaka utawala utolewe na kuuita style za kizamni bimana kwenye uislam hakuna maandamano , hvy walitakiwa washike silaha na kuutoa udhalimu. Note sina uhakika sn inavyosemekana kukamaktwa kwa wale watu agizo lilitoka marekani na kusema hao watu ni htr sn hvy wakamatwe kwa makosa ya ugaidi wapo wanaodai kuna viongozi wa uhamsho walifanya training kandahar, na wakati huo raia wa kigeni huko zenji kipindi cha uhamsho walikutwa na madhira mengi sn like kumwagiwa tindi kali na kufanyiwa vitendo visivyofaa. hayo ndio yaliyowasibu uhamsho hadi leo America wanatazama kwa jicho la mwewe if watatoka au laa kesi ngumu.
View attachment 1750626View attachment 1750627
Aisee kumbe ipo hivi acha waendelee kusota jela waliyachoka maisha ya mtaaniIpo hv mkuu, uzuri nilikuwepo unguja kipindi sakasaka hili linatokea, masheikh wa miadhara (uhamsho) wao walikuwa na ajenda yao kubwa ya kuamsha wazanzibar waliolala juu ya swala zima la nchi yao, wao kipindi wapo walikua wanawakumbusha wazanzibar kuwa si ccm wala chadema wala cuf itakayowakomboa kutoka kwenye maisha ya dhiki bali ni kufata mwenendo wa quraan na sunna za mtume.
Hawa masheikh hawakuvutiwa na cuf wala chadema wao walikuwa na sera yao kuwa demokrasia ni ukafiri ndio maana kila walipokuta bendera ya cuf au ccm wao walikua wakizishusha na kupandisha zao ambazo zina rangi nyeupe tupu na maandishi meupe kati yaliyosomeka kwa kiarabu hakuna mola anaepaswa kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah na muhammad ni mjumbe wa mwenyezi mungu, wao wao walikuwa wanaamini kuwa kwa umoja wao basi walikua na uwezo wa kuiforce serikali ya ccm kutoka madarakani na wao kuchukua mamlaka kamili, nakumbuka wakati huo mambo mengi yalijitokeza wanawake waliovaaa nusu uchi walipigwa fimbo sn mitaani na vijana wafuasi wa uhamsho, walipinga sn siasa ndani ya zanzibar maana wao hawakuwa na chama, wakawa wanadamana kudai mamlaka kamili ndiipo serikali iliposhtuka na kuona hawa watu wakiachiwa mambo yataharibika Muda si mrefu ndio ikabidi wakamatwe.
Na ndio wakati huo huo viongozi baadhi wa makundi ya kijihad waliwakebehi uhamsho kwa style yao ya kutaka utawala utolewe na kuuita style za kizamni bimana kwenye uislam hakuna maandamano , hvy walitakiwa washike silaha na kuutoa udhalimu. Note sina uhakika sn inavyosemekana kukamaktwa kwa wale watu agizo lilitoka marekani na kusema hao watu ni htr sn hvy wakamatwe kwa makosa ya ugaidi wapo wanaodai kuna viongozi wa uhamsho walifanya training kandahar, na wakati huo raia wa kigeni huko zenji kipindi cha uhamsho walikutwa na madhira mengi sn like kumwagiwa tindi kali na kufanyiwa vitendo visivyofaa. hayo ndio yaliyowasibu uhamsho hadi leo America wanatazama kwa jicho la mwewe if watatoka au laa kesi ngumu.
View attachment 1750626View attachment 1750627
Mara zote huwa tunaandika hapa hawa watu ni hatari ila kuna watu hawataki kuelewa kabisa kila mara wanarudia mada kama hizi,Aisee kumbe ipo hivi acha waendelee kusota jela waliyachoka maisha ya mtaani
Mara nyingi Hawa watu huwa wanatumika kisiasa na baadhi ya mataifa kutoka middle East huku wakiwa wanajificha katika kivuli Cha dini , watu wengi haelewi hilo wanajikuta wanawaunga mkono tu nakutaka waachiwe .Ipo hv mkuu, uzuri nilikuwepo unguja kipindi sakasaka hili linatokea, masheikh wa miadhara (uhamsho) wao walikuwa na ajenda yao kubwa ya kuamsha wazanzibar waliolala juu ya swala zima la nchi yao, wao kipindi wapo walikua wanawakumbusha wazanzibar kuwa si ccm wala chadema wala cuf itakayowakomboa kutoka kwenye maisha ya dhiki bali ni kufata mwenendo wa quraan na sunna za mtume.
Hawa masheikh hawakuvutiwa na cuf wala chadema wao walikuwa na sera yao kuwa demokrasia ni ukafiri ndio maana kila walipokuta bendera ya cuf au ccm wao walikua wakizishusha na kupandisha zao ambazo zina rangi nyeupe tupu na maandishi meupe kati yaliyosomeka kwa kiarabu hakuna mola anaepaswa kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah na muhammad ni mjumbe wa mwenyezi mungu, wao wao walikuwa wanaamini kuwa kwa umoja wao basi walikua na uwezo wa kuiforce serikali ya ccm kutoka madarakani na wao kuchukua mamlaka kamili, nakumbuka wakati huo mambo mengi yalijitokeza wanawake waliovaaa nusu uchi walipigwa fimbo sn mitaani na vijana wafuasi wa uhamsho, walipinga sn siasa ndani ya zanzibar maana wao hawakuwa na chama, wakawa wanadamana kudai mamlaka kamili ndiipo serikali iliposhtuka na kuona hawa watu wakiachiwa mambo yataharibika Muda si mrefu ndio ikabidi wakamatwe.
Na ndio wakati huo huo viongozi baadhi wa makundi ya kijihad waliwakebehi uhamsho kwa style yao ya kutaka utawala utolewe na kuuita style za kizamni bimana kwenye uislam hakuna maandamano , hvy walitakiwa washike silaha na kuutoa udhalimu. Note sina uhakika sn inavyosemekana kukamaktwa kwa wale watu agizo lilitoka marekani na kusema hao watu ni htr sn hvy wakamatwe kwa makosa ya ugaidi wapo wanaodai kuna viongozi wa uhamsho walifanya training kandahar, na wakati huo raia wa kigeni huko zenji kipindi cha uhamsho walikutwa na madhira mengi sn like kumwagiwa tindi kali na kufanyiwa vitendo visivyofaa. hayo ndio yaliyowasibu uhamsho hadi leo America wanatazama kwa jicho la mwewe if watatoka au laa kesi ngumu.
View attachment 1750626View attachment 1750627
Fujo kama hizi kwa zanzibar mbona hata siku za chaguzi za kisiasa huwepo tena tangu 1995. Na nyengine ni zaidi ya hizo ulosema umeziona za muamshoMkuu kuna mengi sn juu ya ishu ya hawa jamaa ila sitapenda kuyaandika hapa kwa kuheshimu iman za watu wengine. ila jamaa walikuwa htr mnoo nakumbuka siku waliofanya maadamano mie nilikuwa michenzani natokea darajani, dah walileta noma sn aisee walifunga Barabara na wafuasi walichoma moto matairi.
Watu hawajui huwa, wanaongea ongea tu ,Hii kesi ya hawa mashekhe ni kesi ya kimataifa sio rahisi kama mnavyodhanini ndugu zanguni!
Yeah hawajui wana kurupuka [emoji16][emoji16][emoji16]Kumbe hata wanaowatetea hawa watu hawawajui kiundani wengi ni mkumbo tu.!
Hao watu ni hatari ndugu acha kabisa waone hivyo hivyo mtandao wao ulikuwa mkubwa sana na bado hadi sasa kuna waliokimbia wanatafutwa hao wanaolaumu eti serikal inawaonea hawajui kitu pole zao.Kwanza kabisa hawa Masheikh wakati wanakamatwa Marais walikuwa ni Kikwete Muislam na Dkt. Shein muislam. Sasa hadi leo Marais ni Samia muislam na Dkt Hussein Mwinyi Muislam.
Lakini kila siku tunasikia hawa Masheikh 'wanaonewa' Kwa kukaa rumande miaka mingi bila kesi yao kupelekwa mahakamani.
Kuna mtu mwenye 'ukweli halisi' Atusaidie? Nini hasa kinaendelea?
Ushahidi wa 1 kwa 1 inaweza ikawa Mimi na wewe ndio hatuna lakini deep state wanao !? Kupitia Mawasiliano Yao etcTatizo ushahidi wa moja kwa moja wa kupatikana na ugaidi amna, Tatizo kubwa ni vile hali ilipofikia wakati ule, kuanza kushusha bendera za vyama na kupandisha bendera zao, walikuwa wakikuta watu maskani wanapiga bakora (maskani ni kama vijiwe vya matawi ya vyama like cuf or ccm) serikali ilioona vile ikabidi sasa wachukue hatua.
Ndio watulizwe sasa maana hakuna namna wameshindwa kuishi uraianiWale wanataka dola ya kiislamu..... Hawawezi kutoka kamwe kama nchi hii itaendelea kuwa kwenye vyama vingi au kuongozwa na chama mpaka wabadili msimamo wao....
Kama mnakumbuka kipindi cha kumwagiana tindikali zenji ndio hawa masela sasa....
Mengine tuyapuuze anajua mamlaka.
😅😅jiwe alijifanya ana akili sana! na kwa akili yake ilivyomtosha angewaachia kweli.Watu hawajui huwa, wanaongea ongea tu ,
Niliwahi kusikia story kuwa hata sababu ya Maalim seif kutangulia kuzimu ime sababishwa na hao hao alipokwenda chato na kukutana na jiwe 1 ya agenda yao kubwa ilikuwa ni kuwaachia hao watu wa uamsho ,na jiwe akawa amekubali hilo , deep state ikaona jamaa wanataka kuvuka mipaka wakaingilia kati
Fuatilia kilichotokea kwenye hizi nchi hadi zikafikia kugawana vipande viwiliKabisa. JK alivyopenda kuwa fair wasingeliwekwa ndani. Kuna danger line walivuka.
Wapo wanaojua ila wamekaa kimya
Navyoona yanayoendelea Msumbiji tena kwa muda wa miaka minne tu bora waendelee kusota ndani kwaajili ya usalama wao.Tundu anasemaje?
Yes, Kuna Waarusha na Wachache walidakwa Mwanza hawa Ni matukio ya kigaidi na Hawa wote wana zaidi ya miaka mi5 Sasa wapo magereza!!Kuna Masheikh wa Arusha? Wako rumande pia miaka kadhaa?
Mozambique ni mfano halisi. Wale wanaotaka kusambaza dini kwa kuua watu wengine wanasambaza dini ya aina gani? Ule ni ushetani mtupu. halafu wengine wanasema hawa watu wanaonewa. nani kasema hatuwezi kuishi pamoja bila kuuana kama tuna dini tofauti?Mara nyingi Hawa watu huwa wanatumika kisiasa na baadhi ya mataifa kutoka middle East huku wakiwa wanajificha katika kivuli Cha dini , watu wengi haelewi hilo wanajikuta wanawaunga mkono tu nakutaka waachiwe .
Nikweli nakubali kwamba serikali ya Tanzania Kuna wakati huwa inafanya uonezi na kuonea baadhi ya watu kwa kuwabambikia kesi , ila kwa watu hawa Hapana aisee wanapaswa kubaki huko huko jela maana walikuwa Wanataka kuvuruga amani ya Nchi
NdioKwani mashehe ni wanasiasa?
Tuanzie hapo.