magessa2016
Member
- Jul 23, 2016
- 7
- 1
Mikono mirefu na mifupiYakoje!!?
Kama unahitaji nicheki kwenye hyo number hapoNahitaji
Shati za Bachelors! Mwanaume anaefuga Mwanamke/ Wanawake wa kudumu havai lisilo na mfuko kifuani.
Yenye mifuko kifuani yapo piaShati za Bachelors! Mwanaume anaefuga Mwanamke/ Wanawake wa kudumu havai lisilo na mfuko kifuani.
Camera iliyotumika ni pixel ngapi na aina gani, camera imevuruga mng'aoMkuu mbona hayavutii kabisa? Huna shati za mikono mifupi draft kali zinazo ng'aa? hizo ulizo tuonesha zinafukuza wateja mkuu..
mkuu weka picha za mashati mazuri...kwa mashati uliyoyaweka unaharibu biashara yako