BRO SANTANA
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,845
- 2,249
Kuwa serious kama mimi nilivyo acha u firauni.[emoji56] una mil.5 unataka kwenda kwa trump [emoji849] njoo tuzile tuu
Habarini za jioni ndugu zangu.
Nimejiwekeza hapa nimepata kama mil 5.
Sasa nahitaji niione tu marekani kwa macho yangu sio kusimuliwa kila siku na kuiona mtandaoni.
Sada naomba nijue vigezo kuanzia visa mpaka kukubaliwa kwenda huko na sina hata ndugu huko.
Na je nauli zipoje kwa sasa kwa kuangalia ndege ambayo ni nafuu sana.
Msaada ndugu zangu.
Ikishindikana hata China nayo naipenda pia.
Hili ndo povu lenyewe mkuu, roughly iyo amount yako ni sawa na $2500 sasa apo tuseme huna passport na hujaapply visa, bado vitu vingine extra.. Documents booking place utakayo fikia.. Lol ndo maana uyo member kasema uzile tu..au tafuta nchi ingine.. Ila i stand to be correctedKuwa serious kama mimi nilivyo acha u firauni.
Ungekuwa unajua ungeshauri kwenye 5 niongeze ngapi na sio huo ujinga uliotoa hapa.
Hivi ni lazima kila uzi uchangie?
Jiheshimu humu ni great thinkers sio wajinga.
Nauli ni usd 1000 low season anapata ticket , bado accomodation , meals and viza fee5 milioni ni kama usd 2000 na ushee. Sidhani kma hata nauli ya kwenda tu inatosha.
Kiroho safi tu mkuu nakushauli uende Serengeti,achana na huko kwa Trump kwanza sidhani kama watakupa visaHabarini za jioni ndugu zangu.
Nimejiwekeza hapa nimepata kama mil 5.
Sasa nahitaji niione tu marekani kwa macho yangu sio kusimuliwa kila siku na kuiona mtandaoni.
Sada naomba nijue vigezo kuanzia visa mpaka kukubaliwa kwenda huko na sina hata ndugu huko.
Na je nauli zipoje kwa sasa kwa kuangalia ndege ambayo ni nafuu sana.
Msaada ndugu zangu.
Ikishindikana hata China nayo naipenda pia.
Pia unapoenda kufanya interview wao wanaamini ukienda hutarudi sasa wewe uthibitishe kwamba utarudi. Ila kama hujaoa na huna familia au huendi kusoma inakuwa ngumu zaidiKikubwa US embassy wanataka uthibitisho that you have things that will bring you back home kikubwa ni mke na watoto, they believe ukiwa na family huwezi kuzamia forget about cars and houses
Serengeti kufanya nini?Kiroho safi tu mkuu nakushauli uende Serengeti,achana na huko kwa Trump kwanza sidhani kama watakupa visa
Nashukuru kwa wazo mkuuMkuu iongeze kidogo angalau ifike 9M
Thanx mkuu.When you travel you learn
Umenena vyema sana mkuuKuwa serious kama mimi nilivyo acha u firauni.
Ungekuwa unajua ungeshauri kwenye 5 niongeze ngapi na sio huo ujinga uliotoa hapa.
Hivi ni lazima kila uzi uchangie?
Jiheshimu humu ni great thinkers sio wajinga.