Wizzo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 723 Reaction score 257 Jan 5, 2013 #1 soma sharti na 6 Attachments 05012013048.jpg 201.1 KB · Views: 300
marejesho JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 6,634 Reaction score 3,662 Jan 5, 2013 #2 Kama ni ile inayomilikiwa na Kanisa ni kweli!!!
Kamanda Kazi JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 2,613 Reaction score 800 Jan 5, 2013 #3 ni sawa mbona. mimi sioni jambo la ajabu hapo! tatizo watu wanapenda kuwowa na kuwolewa usiku na asubuhi ndoa imekwisha!
ni sawa mbona. mimi sioni jambo la ajabu hapo! tatizo watu wanapenda kuwowa na kuwolewa usiku na asubuhi ndoa imekwisha!
K kigoda JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 1,781 Reaction score 361 Jan 5, 2013 #4 Wamenikumbusha gest moja ya njombe imeandikwa KUOKA NI LAZIMA. huingii na mwanamke bila cheti cha ndoa.
Wamenikumbusha gest moja ya njombe imeandikwa KUOKA NI LAZIMA. huingii na mwanamke bila cheti cha ndoa.