Masharti Mapya ya Mnada

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
Wadau
Haya ndiyo masharti Mapya kwa watakaoshiriki mnada wa kesho tarehe 24/11/2017
1. Lazima kila mshiriki ajisajiri
2. Kila mshiriki atatoa tshs milioni 2 kabla ya kuanza mnada. Ukishindwa unarejeshewa fedha hapohapo. Ukishinda mnada fedha hizo zinakuwa sehemu ya malipo.
3. Malipo 25% ni hapohapo vinginevyo upelekwe na escort ya police Benki
4. Lazima kila mshiriki asalimishe passport, leseni ya udereva au kadi ya kura.
Karibuni
NB: Nyumba za Lugumi
 
Dr. Shika anabadili sheria kwa njia za kisayansi, sijui mnada ujao atabadili sheria gani ngoja tusubiri
 
Naona sahv wamekuja kivingine na safari hii zisiponunulika basi hawauzi tena

Ova
 
Huu sasa ni uonevu,kwanini hawana subra kwa yule mnunuzi wa mwanzo
 
Kesho mimi naibukia hapo!!Naeda ku"kick" kama Dr Shika!!
 
ngoja nam niende asee....
2mill Itapendeza zaid
 
WATU WANAVUNJA SHERIA ZILIZOWEKWA, DOGO JANJA YEYE ALIVUNJA SHERIA YA KUWA "WAKUBWA WANAFAIDI" SHIKA YEYE KAVUNJA YAKE , TUSUBIRI WENGINE WATAVUNJA ZIPI
 
Safari hii akija anawapa cheki feki
 
Hiyo ya kudeposit milioni 2 ni nzuri, ila kwa ukubwa wa mnada, wangefanya 900 ingependeza zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…