Mashamba yanauzwa

kizobrax

Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
44
Reaction score
1
mashamba yenye ukubwa kuanzia hekari moja na kuendelea,yanapatikana/yanauzwa maeneo ya msolwa chalinze barabara ya morogoro,kwa mawasiliano piga na:0717012656
 
mashamba yenye ukubwa kuanzia hekari moja na kuendelea,yanapatikana/yanauzwa maeneo ya msolwa chalinze barabara ya morogoro,kwa mawasiliano piga na:0717012656

Heshima yako mkuu ebu weka data vyema eg hekari moja ni bei gani,umbali toka barabara kuu,upatikanaji wa maji,mashamba yananunuliwa kijijini au Individuals etc.
 
Nadhani ni wengi tunahitaji kiongozi, weka data muafaka tujaribu uwekezaji huko.....
 
hakuna kitu hapo! Post 7 unategemea nini?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…