Nima Imma
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 2,473
- 3,655
Yapo kibaha kwa kipofu...kilomita nne kutoka morogoro road ..umeme maji yapo zipo hekari 9..na wameshaita surveyor wanao mchoro ...ni mashamaba ya familia wameamua kuyauza wagawane urithi hakuna dalali unaonana na wahusika wenyewe wanauza kuanzika heka moja na kuendelea bei 3.5 milion ..phone no +255712930420