Mashamba yanauzwa Msowelo Kilosa

Hapo karibu na maji naweza pata hata eka 4 au 5 mkuu??

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
huko unaweza kulima mpunga?

Maeneo unayoweza kulima mpunga wa umuagiliaji yapo ila ni tofauti na haya,na bei zake zipo juu kidogo!
 
hello ndugu. mashamba jirani na maji bado yanapatikana?
 
hello ndugu. mashamba jirani na maji bado yanapatikana?

Zinaweza patikana heka 7 mkuu,mashamba ya karibu na mto demand yake ni kubwa kulinganisha na ya kawaida
 
Msowelo ni huko kuelekea shule ya msolwa sekondari unaweza pitia mikumi mjini?
 
Msowelo ni huko kuelekea shule ya msolwa sekondari unaweza pitia mikumi mjini?

Ndio ndugu,unaweza fika kwa kupitia Mikumi au kupitia Dumila kama unatokea Morogoro mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…