Mkuu maeneo haya yamegawanyika mara mbili,yapo ambayo yanafaa kwa kilimo cha umuagiliaji kama vile nyanya,tikiti maji,hoho,vitunguu etc,na pia yapo yanayofaa kwa kilimo cha kawaida kama vile,ufuta,alizeti,mahindi etc,kuhusu bei haya ya umuagiliaji yanaanzia 550,000/= kwa heka na maelewano yapo na haya yasiyo ya umuagiliaji yana range kati ya 370,000/= mpaka 430,000/= kwa heka ila maelewano yapo pia!