Mashamba yanauzwa KIBAHA

Mashamba yanauzwa KIBAHA

JBN

Member
Joined
Mar 4, 2012
Posts
84
Reaction score
15
Mashamba matatu kila moja lina ekari 1. Yanapatikana Kata ya Visiga kituo cha madafu. La kwanza lipo kilometa 1 na nusu kutoka morogoro road, bei 3.5mil. La pili lipo kilometa 4 kutoka morogoro road, bei 1.5mil.(hili lipo karibu na kiwanda cha Wachina cha nondo). La tatu lipo kilometa 7 kutoka Morogoro road, bei 1.8mil.(Hili unatokea Tegeta, Bagamoyo). Mashamba yote yanafaa kwa kujenga, kilimo, kufuga n.k. 0714404057, 0755033997
 
Mkuu yako mwenyewe au wewe dalali?
 
Sio yangu ila nmewekeza mashamba huko kuuza bado tym. Nachofanya ni mashamba ya mwenyekiti wa mtaa eneo moja hapo namsaidia kumrushia mtandaoni. Usitie shaka kama ukihitaji
 
Nimeambiwa kuna masahamba eka 1 laki 5 mkuu hapo kibaha mbona ww so expensive mkuu una title deed?
 
Kuwa makini wilaya ya Kibaha imekuwa na matapeli wengi sana, wanakuuzia shamba la mtu kwa pesa ndogo kisha wanaingia mitini.

Kwa Tsh. Laki tano sidhani kama unaweza pata shamba Kibaha, labda Kisarawe...
 
Kaka Kisarawe ntapataje shamba lenye uhakika?
 
Vipi mkuu shamba hilo linalotokea bagamoyo road bado lipo? Na lipo ktk kijiji gan?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom