Mashamba yanauzwa Kibaha Madafu

Mashamba yanauzwa Kibaha Madafu

Titu Bwai

Member
Joined
Jul 18, 2015
Posts
27
Reaction score
1
💥MASHAMBA YANAUZWA💥
Yapo Kibaha-Madafu
1.5km toka Morogoro Road
Umeme na Maji viko 0.5m toka mashamba yalipo...
Zipo heka 6 na zinauzwa kuanzia heka 1 kwenda juu na sio chini ya hapo..
Vina karatasi halali toka Serikali ya Kijiji ambayo inatambulika na Serikali ya Mtaa pia(HAYAJAPIMWA).!!

Mnunuaji unatakiwa uje na picha za Passport Size 2 siku ya kununua.!!
NYOTE MNAKARIBISHWA

***Bei ni 1.8m Kwa Heka***

Call #0714009817
 

Attachments

  • 1439186374889.jpg
    1439186374889.jpg
    93 KB · Views: 324
1.8 Million kwa eka?
Haupo serious wewe subiri wanunua mapori watakuja
 
Nahitaji plot kwa ajili ya yard, kuanzia Kibamba hadi Maili Moja, iwe barabarani kabisa! Ukubwa kuanzia acre 5-10!

Check me on 0785418101
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom