Namie pia nimejenga Chanika karibu ya Lami ya mwisho.
Bei hizo ni halali kabisa,na ardhi ya chanika ni nzuri sana.
Tena hiyo bei ni rahisi kwa kule,maana kuna mradi wa Barabara ya Lami kuanzia pale mwisho kwenda mbele huko kuunganisha na upande wa lami ya pili.Kwahiyo watu watakuwa wanaweka njia tu za kuingia kwenye mashamba yao.
Sasa mkuu wewe una jumla ya Hekari ngapi?