The Red Pen
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 517
- 206
Chanika siku hizi hakuna Simba. Maeneo yanakaliwa na watu. Watu wapo bize huku wanawekeza ktk kilimo na ufugaji. Ni maeneo mazuri sana kwa shughuli hizi na nyinginezo...
habari zenu wanajamii;
kuna mashamba yanauzwa maeneo ya bwama hapa chanika. Ninauza kuanzia ukubwa wa heka moja na kuendelea. Bei ya heka moja ni tsh millioni moja. Kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane kupitia 0655 37 11 26. Bei inazungumzika pia. Warmly welcome...
Nikija dsm ntakutafuta nahitaji kama eka 4 hivi.
Mtakuja kuuziwa mapori ya hifadhi ya serikali.kuweni makini.
kuna umbali gani na barabara na vp maji na umeme vipo karibu
Kinachotakiwa wakati was kuuza kuwe name mashahidi tu
Hakuna shamba ekari moja kwa milioni moja DSM. Hilo litakuwa shamba limevamiwa na matapeli na wanauza kuwapiga wanunuzi.
Habari zenu wanajamii;
Kuna mashamba yanauzwa maeneo ya Bwama hapa Chanika. Ninauza kuanzia ukubwa wa heka moja na kuendelea. Bei ya heka moja ni Tsh MILLIONI MOJA. Kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane kupitia 0655 37 11 26. Bei inazungumzika pia. Warmly Welcome...