Mashamba ya miti yanauzwa wenye kuhitaji

GMGC

Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
6
Reaction score
0
Mashamba ya miti ya mbao aina ya mpaina yanauzwa.

Miti ya umri wa miaka 5 kwa hekari moja pamoja na alidhi ni 3.5million

Miti ya umri miaka 4 kwa hekari moja 3million

Miaka3kwa hekari moja 2.5million

Miaka 2 kwa hekari moja ni 2million

Mashamba yapo Mbeya kwa mawasiliano zaidi nicheck 0715865050
 
mbeya maeneo gani yapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…