Mashamba ya kukodi bei cheeee

Iyokopokomayoko

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
1,785
Reaction score
444
Mashamba ya kukodi bei chee.

1. Msanga mbele ya chanika karibu na Dar Es Salaam, kukodi kwa ekari kwa msimu mmoja = 50,000/ tu.

2. Mkinga wilayani mkoani Tanga kukodi kwa ekari kwa msimu mmoja = 60,000/= tu.

mawasiliano: 0769142586 au info@mashambaviwanja.info
 
Karibu yote isipokuwa mpunga. Unaweza kulima mahindi, karanga, alizeti, mananasi, matikiti, machungwa, tangawizi, vitunguu swaumu, n.k

Tuambie mazao gani yanaweza kumea kwa hayo maeneo mkuu
 
Maji yapo ya kutosha hasa wakati wa mvua ila kama unataka kufanya umwagiliaji bado inawezekana kwa kuchimba kisima kwani maji hayapo mbali kwenda chini, ardhi ina rutuba ya kutosha. Hakuna sababu ya kuhofia juu ya maji huko.

Msanga kuna maji?
 
Mkuu,

Mashamba Ya kuuza je?
 
kukodi ni kivp, kwa mwaka au mpaka uvune zao lako ndo pesa yako ya kukodi inaisha?
 
Njoo na hiyo pesa Mbeya wilaya mpya ya Momba nikupatie shamba lako mwenyewe, ulime mahindi, maharage, alizeti, soya, nk hata bila mbolea. Hati ya kimila itatolewa kwa gharama za ziada
 
Njoo na hiyo pesa Mbeya wilaya mpya ya Momba nikupatie shamba lako mwenyewe, ulime mahindi, maharage, alizeti, soya, nk hata bila mbolea. Hati ya kimila itatolewa kwa gharama za ziada

contact mkuu nipo nzovwe hapa,nije huko wiki hii
 
Mkuu, ya kununua yapo, laki 7 kwa ekari hayana hati ila ukihitaji mchakato unafanyika ili upate hati yako kabla hujalipia hela ya kununulia shamba.

Mkuu,

Mashamba Ya kuuza je?
 
Unazo ekari ngapi?

Njoo na hiyo pesa Mbeya wilaya mpya ya Momba nikupatie shamba lako mwenyewe, ulime mahindi, maharage, alizeti, soya, nk hata bila mbolea. Hati ya kimila itatolewa kwa gharama za ziada
 
mkuu nitakucheki keshokutwa nataka ekari moja ama mbili, m thinking about kulima matikiti,ngoja nitafute mshauri kwanza.i will get back to u.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…