Am interested nataka kujua chanzo cha maji kilichopo hapo kw ajili ya umwagiliaji na nikipata namba yako PM nitashkuru ndugu
Heka 60 tu? Uliposema kubwa nilifikiri kuanzia 120
Mashamba yapo kijijini Msowelo,na kwenye kijiji cha Makobwe pia
Nashauri kila mtu awekeze kwao wa pwani awekeze pwani wa mbeya awekewe mbeya vita ya dini inayokuja ni mbaya sana..
ila nimekupata wewe shamba lako nadhani lipo yale maeneo wanayochimba madini makobwe na ndiko zinakotoka mbao.vipi hakuna mgogoro wowote ule,maana huko ndiko wafugaji wanakokimbilia kwa sasa.
barabara kuu ya kilosa ni kubwa,wapi hapo,makuluwili,mambegwa,mvumi,ni wapi hilo shamba la pili lipo,mimi nataka hilo shamba la piliWanakochimba madini ni tofauti na huku kwenye ilo shamba mkuu!mgogoro wa wafugaji sijawahi kusikia tokea nikae huku,mashamba yapo mawili,moja lipo Mkobwe na lingine Msowelo barabara kuu ya Kilosa
NA kama nataka kuchukua ekari kadhaa inakuaje???Mkuu hizi 60 zipo pembezoni kabisa na barabara ya Kilosa hiyo inayowekwa lami,zinafaa kwa kila kitu,kilimo,ujenzi etc!