Mashamba Kiwangwa (Bagamoyo)

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
571
Reaction score
156
Wanajukwaa naomba kuuliza:

Kiwangwa (Bagamoyo) ekari moja ya shamba wanauza bei gani? (Price range)

Mazao gani yanafaa? (yanayotajwa sana)

Vipi kuhusu utapeli? (Bagamoyo inasifika kwa kuuza mashamba zaidi ya mara moja na/ au maeneo yaliyopangwa na serikali kwa shughuli maalum)
 
Hapo unaingizwa mjini. Mimi nina ekari mbili. Kuna mtu alifika milioni 5.5 nikakataa.
 
Utakuwa unafanya window shopping wewe,if ur serious ,tuwasiliane,nitakuuzia ekari kama hamsini ambazo zinafaa kwa kilimo cha nanasi,ufuta,mahindi,muhongo na kunde.
 
Hapo unaingizwa mjini. Mimi nina ekari mbili. Kuna mtu alifika milioni 5.5 nikakataa.

Anajiamini nini kukubali nilipomwambia kuwa nitatumia njia zangu ninazozijua ikiwa ni pamoja na kutumia watu wangu wa karibu wanaofanya kazi Wizara ya Ardhi kuthibitisha uhalali wa eneo husika?
 
Utakuwa unafanya window shopping wewe,if ur serious ,tuwasiliane,nitakuuzia ekari kama hamsini ambazo zinafaa kwa kilimo cha nanasi,ufuta,mahindi,muhongo na kunde.

Jieleze kuhusu uhalali na bei za mashamba yako/ ya watu unayouza.
 
Me pia nimeskia yapo ekari laki sita ila ni mwendo kidogo kutoka kiwangwa mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…