Mashamba au viwanja vinavyouzwa Mwanza

Mashamba au viwanja vinavyouzwa Mwanza

Joined
Oct 21, 2017
Posts
34
Reaction score
7
Jipatie mashamba kwa ajili ya kilimo au uwekezaji na viwanja kwa ajili ya ujenzi wa nyumba katika jiji la mwanza ķwa kupiga namba 0763269695
 
Ungeongezea ndugu,

Weka ukuwa wa kila shamba lilipo na bei yake.

Pia weka na ukubwa wa viwanja na bei zake ili kurahisisha .. kama mtu yupo interested lazima atakutafuta.

Unaweza weka sample 3 za mashamba na 3 za viwanja.
 
Tangazo la biashara bila bei na picha ni ushamba na uzwazwa. Harufu ya utapeli ndo tunayokutana nayo. Weka mambo hazarani kila MTU aone una mda wakupokea simu zote za wanaJF
Tafadhari ongezea nyama tangazo lako
 
Me na hitaji nyumba ya kupanga maeneo ya kuanzia nyagezi, mkolani na buhongwa
 
Ungeongezea ndugu,

Weka ukuwa wa kila shamba lilipo na bei yake.

Pia weka na ukubwa wa viwanja na bei zake ili kurahisisha .. kama mtu yupo interested lazima atakutafuta.

Unaweza weka sample 3 za mashamba na 3 za viwanja.
Kuna nusu heka na heka nzima hizi zipo usagara na kama ni ya nyumba yako mengi sana ni wewe unasema unataka sehemu gani nakuelekeza.
 
Ungeongezea ndugu,

Weka ukuwa wa kila shamba lilipo na bei yake.

Pia weka na ukubwa wa viwanja na bei zake ili kurahisisha .. kama mtu yupo interested lazima atakutafuta.

Unaweza weka sample 3 za mashamba na 3 za viwanja.
Haya kiongozi umeeleweka ila kumbuka nmempa mtu nafasi yakupiga simu nakujieleza mwenyewe ni wapi anataka na mi ntamuelekeza kwa hio kama ana nia ata piga kama hana cio lazima.
 
Yap nyumba nzima
Ipo ina vyumba viwili vyote self contain, ina jiko, sitting room na store room. Anataka 300,000 kwa mwaka. Nyumba iko baraba yakutoka marimbe chuooni kuelekea mkolani. Kama uko mwanza ni vizuri twende ukaione.
 
Tangazo la biashara bila bei na picha ni ushamba na uzwazwa. Harufu ya utapeli ndo tunayokutana nayo. Weka mambo hazarani kila MTU aone una mda wakupokea simu zote za wanaJF
Tafadhari ongezea nyama tangazo lako
Sawa mku umetoa hoja ila naona haina mashiko hii ni kwa wale wanao hitaji viwanja mwanza ni kazi kwake kupiga simu na kusema sehemu anayo ihitaji eneo gani sasa darubini nakuona ujafanya kazi yakuona mbali ila ume fanya kazi ya kuona karibu na kukejeli.
 
s
Ipo ina vyumba viwili vyote self contain, ina jiko, sitting room na store room. Anataka 300,000 kwa mwaka. Nyumba iko baraba yakutoka marimbe chuooni kuelekea mkolani. Kama uko mwanza ni vizuri twende ukaione.

laki tatu kwa mwaka sidhani kama ni sahihi.
 
ok nina eneo langu lipo kanyerere,tatizo la eneo hili ni squarter;jiji lenu lina mpango gani juu ya maeneo kama haya?
Sasa hivi kuna upimaji shirikishi ambao kila mwana mtaa anatoa kiasi cha sh 150,000 wanakuja wahusika kutoka ardhi mna pimiwa na wakimaliza wana waambia ni muda gani hati mtapewa. Embu jalibu kuwasiliana na serikali ya mtaa (mwenyekiti). Naomba nkuulize kiwanja umejenga ama bado huja jenga.
 
bado sijajenga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom