Acha ujinga mkuu wangapi wanakufa na wana viono inchi 24, kifo ni fumbo . We mshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai ulionao, na huo uhai sio kwa ujanja wako mkuu ni Mungu mwenyewe kaamua kukuachia ila akiamua hata mchana hautoboi.
Huu ni uzi wa Tanzia,binadamu mwenzetu ametangulia mbele ya haki, ukitaka fungua uzi wako wa vitambi, na huyo mtaalamu uliyemtaja naye ana wingu Zito la tuhuma juu ya kichwa chake, ila muda utakuja kusema ukweli, elewa dead people wanaongea kutoka makaburini, ipo siku moja ,marehemu huyu ataongea, RIP aka Abiola
Acha ujinga mkuu wangapi wanakufa na wana viono inchi 24, kifo ni fumbo . We mshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai ulionao, na huo uhai sio kwa ujanja wako mkuu ni Mungu mwenyewe kaamua kukuachia ila akiamua hata mchana hautoboi.
Mimi sio niliosema hizo inchi 40, matusi yako hayabadili ukwell wa wataalam ; puuzia ushauri wao hapo ndio utatambua nani ni idiot kati yangu na wewe bwege mwenye kitambi kama una mimba!
ila tuseme tu hawa ndugu zetu wenye vitambi wasipofuata ushauri wa wataalam watapukutika sana. Kutoboa miaka sitini na kuendelea ni bahati kubwa sana ukiwa na kitambi, sijawahi kuona mzee wa miaka sabini mpaka themanini ana kitambi
FaizaFoxy kwani haya maneno ungeyatafsiri ili sote tuelewe Kuna ubaya.? Nadhani hiyo lugha ni kimakonde au kimakua. Sio wote humu jf wanatokea Mtwara na Ruvuma.
Kiuno akawa anavaa size 12 ni baada ya kuvaa zaidi ya size 40; kwa maana nyingine ni maradhi ndio yamesababisha avae size 12! Ilitakiwa size hiyo ipungue kwa nidhamu ya lishe na mazoezi na sio maradhi!!