kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
Kama huna piga kimya. Nimesema kwa ambaye anayo.Wimbo usikilize wewe mashairi tuwe nayo sisi tuandike
sasa nyimbo siumesikiliza wewe usilete mambo yakishamba mzee baba ...nenda kasikilize mwenyewe namashairi uhandike mwenyewe .Kama huna piga kimya. Nimesema kwa ambaye anayo.
Shukrani sana. Wewe una utu sana.
Pointhuyu dogo ni kichwa zaidi ya Aslay...Promo kubwa imekosekana..jamaa ni level nyingine kuanzia sauti(sauti kali halisi yenye mirindimo ya kipanda na kushuka), mashairi, melody, way he flow.. sikiliza kwa makini libebe, sikinai utagundua hili..
Mavi unayachukia kuyanya au kuyala?Siyo uhandike =sema uandike. Hicho ni kimakonde halafu nakichukia kama mavi
huyu dogo ni kichwa zaidi ya Aslay...Promo kubwa imekosekana..jamaa ni level nyingine kuanzia sauti(sauti kali halisi yenye mirindimo ya kipanda na kushuka), mashairi, melody, way he flow.. sikiliza kwa makini libebe, sikinai utagundua hili..