Sijui kwa nini vurugu za mechi ya jana kati ya Yanga na Al Ahly zinawaendea moja kwa moja mashabiki wa Simba. Kwa maelezo haya ni wazi wenye vurugu ni mashabiki wa Yanga wakilazimisha kushangiliwa:
" Mashabiki wa Simba na Yanga wakirushiana viti Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo wakati wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga SC na Al Ahly ya Misri. Yanga ilishinda 1-0 na chanzo cha vurugu hizo ni mashabiki wa Simba kuishangilia Ahly. Leo mashabiki wa Yanga waliruhusiwa kwenda kukaa upande wa Simba SC, jambo ambalo lilisababisha vurugu hizo na uharibifu wa viti vilivyong'olewa.".
Source: bin Zubeiry.
Kwani huo uwanja umejengwa na Yanga au Simba hadi kusiwe na uhuru wa kila mtu kukaa anapohitaji kukaa?Leo mashabiki wa Yanga waliruhusiwa kwenda kukaa upande wa Simba SC, jambo ambalo lilisababisha vurugu hizo na uharibifu wa viti vilivyong'olewa.".
Source: bin Zubeiry.
Kwani huo uwanja umejengwa na Yanga au Simba hadi kusiwe na uhuru wa kila mtu kukaa anapohitaji kukaa?
Kwanza kama ungelikuwepo uwanjani ungeliweza kuona uchache wa mashabiki wa Simba kwa siku ile...
Yale majukwaa ambayo huzoeleka kukaa mashabiki wa Yanga kulikuwa kumejaa hadi wengine kusimama...
Sasa kwa mtazamo wako ulitaka wenye timu wasimame nje wakati ndani ya uwanja kuna viti wazi vinavyosemekana ni vya mashabiki wa Simba?
Mkuu hebu dadavua point kwanza. Chanzo cha vurugu kwa mujibu wa taarifa hii ni kipi?
Sijajua kwa sababu gani umeni cc
Ila kwa tuliokuwepo uwanjani, mashabiki wa Yanga tena tawi maarufu la UBT "Wakali wa Terminal" wakiwa wamevalia mavazi yao nadhifu yenye rangi ya njano na kijani pamoja na bendera yao kubwa, walipiga kambi upande wa kaskazini wa uwanja jukwaa la Orange.
Kitendo hicho kiliwapa hasira mashabiki wa Simba ambao kwa uchache wao wakiwa na jezi nyekundu na nyeupe, walijaza sehemu ya mzunguko viti vya Orange lakini upande wa magharibi ya uwanja.
Mwanzoni kulikuwa na figisu figisu za hapa na pale lakini ni zile za ushabiki wa kawaida tu wa miaka yote.
Mambo yalipadilika baada ya Yanga kupata goli na upande ambao goli lilifungwa ndio huo upande walipokuwa wanazi hao wa timu zote mbili.
Huenda shangilia ya Wakali wa Terminal iliwakera mashabiki wa Simba, maana ghafla walianza kurusha viti hadi pale askari wa FFU waliposogea eneo hilo ndio wakaacha hizo fujo.
Ila taarifa inasema "kurushiana" sio "kurusha". Huoni unakuwa biased mkuu?
Hahaa..kwa hiyo watani mlikuwa kama 'Yesu'..hamkurudisha?
bado haujadadavua hoja. Suala ni mashabiki gani walin,goa viti? Kwa mfano wewe shabiki wa Simba ukingoa kiti ukamrushia wa yanga,kisha yeye akakiokota na kukurushia. Ni nani hapo aliengoa viti. After all mashabiki wa simba wana CV na rekodi ya kungoa viti kila wakikasirika.Ila taarifa inasema "kurushiana" sio "kurusha". Huoni unakuwa biased mkuu?
Nimeku cc uone hoja ya shabiki mwenzio.
bado haujadadavua hoja. Suala ni mashabiki gani walin,goa viti? Kwa mfano wewe shabiki wa Simba ukingoa kiti ukamrushia wa yanga,kisha yeye akakiokota na kukurushia. Ni nani hapo aliengoa viti. After all mashabiki wa simba wana CV na rekodi ya kungoa viti kila wakikasirika.
bado haujadadavua hoja. Suala ni mashabiki gani walin,goa viti? Kwa mfano wewe shabiki wa Simba ukingoa kiti ukamrushia wa yanga,kisha yeye akakiokota na kukurushia. Ni nani hapo aliengoa viti. After all mashabiki wa simba wana CV na rekodi ya kungoa viti kila wakikasirika.
Umewacha hatua moja muhimu. Naomba uiweke panapostahiki ndipo uulize swala lako. Hatua yenyewe ni ' Yanga wanafunga goli'.Kumbe ni habari za rekodi!! Hoja inaanza hivi
1. Mashabiki wa Simba kuishangilia Al Ahyl
2. Mashabiki wa Yanga wananza vurugu
3. Viti vinarushwa.
Kama ni bakora hapa utawachapa wa kundi gani na kuacha lipi?
Umewacha hatua moja muhimu. Naomba uiweke panapostahiki ndipo uulize swala lako. Hatua yenyewe ni ' Yanga wanafunga goli'.
ina maana Yanga walianza vurugu kabla hawajafunga goli. Sawa. Lakini vurugu hizo hazikufikia viti kun'golewa. Sawa. Yanga wanafunga goli. Viti vina'golewa. Huoni kama hiyo inathibitisha unachojaribu kukikataa?Kumbe ni habari za rekodi!! Hoja inaanza hivi
1. Mashabiki wa Simba kuishangilia Al Ahyl
2. Mashabiki wa Yanga wananza vurugu
3. Yanga wanafunga goli
4. Viti vinarushwa.
Kama ni bakora hapa utawachapa wa kundi gani na kuacha lipi?
Haya nimetii. Japo kabla yagoli unaona waziwazi waliokuwa wanafanya vurugu ni akina nani.
ina maana Yanga walianza vurugu kabla hawajafunga goli. Sawa. Lakini vurugu hizo hazikufikia viti kun'golewa. Sawa. Yanga wanafunga goli. Viti vina'golewa. Huoni kama hiyo inathibitisha unachojaribu kukikataa?
kinachokosekana kwenye hoja yako ni mshikamano ya mitiririko uliyoinukuu. Kama Yanga walianzisha vurugu kabla hata ya kupata goli. Hawakuwa na sababu ya kusubiri hadi goli liingie ndiyo waanze kun'goa viti. Goli pekee haliwezi kuwa kichocheo cha kun'goa viti. Lazima kuna kitu chengine kilichochochewa na kuingia goli, nacho kikachochea kin'golewa viti. Mtiririko wako wa maelezo umevinyamazia vichocheo hivyo. Kwa hivyo maelezo yako yameshindwa kuthibitisha hoja yako, hata kama Yanga wangekuwa ndio walion'goa viti hivyo.Sasa mkuu kinachosababisha hatua hiyo ni goli au mwendelezo wa vurugu wana yanga walizoanzisha!!?
Kumbe ni habari za rekodi!! Hoja inaanza hivi
1. Mashabiki wa Simba kuishangilia Al Ahyl
2. Mashabiki wa Yanga wananza vurugu
3. Yanga wanafunga goli
4. Viti vinarushwa.
Kama ni bakora hapa utawachapa wa kundi gani na kuacha lipi?
Haya nimetii. Japo kabla yagoli unaona waziwazi waliokuwa wanafanya vurugu ni akina nani.