Bora mnaoona mafanikio na kasoro. Wengine wameona mazuri pekee kiasi cha kutaka Kila mchezaji acheze utadhani kulikuwa na Kombe.Wakuu,
Imagine leo Simba pamoja na mafanikio ya kila aina ikiwemo ushindi na mpira safi leo alafu kuna mashabiki wanalalamika kwamba kocha kwanini hampangi Phiri!
Kweli game ya bonanza, pamoja na mafanikio yote tunaanza kuhoji kwanini leo Phiri hajacheza? Hivi tunajiona sisi ni zaidi ya Barcelona? Hivi tunafikiri kocha haoni maoni yenu ya kifala? Mnataka tubadili kocha tena kizembe kisa Phiri hajapangwa?
Hapa niwasifu mashabiki wa Yanga, kiukweli wamejaa ukomavu ambao ni wa kipekee sana. Hivi tungegeuza upande leo Simba kungekalika kweli? Pamoja na hamasa tuliyonayo mashabiki wa Simba lakini tumejaa ujinga wa kushangaza sana!
Tuache ujuha, ujinga, na upunguani! Hatuna timu ya dhahabu kiasi ya kufanya tujione tunapaswa kufanya miracles za mbinguni. Tuuunge mkono timu na viongozi na kuacha malalamiko ya kipuuzi hasa kwa kocha.
Hii ni kwa mashabiki maandazi!!!.
Simba #nguvumoja
Hakukua na sababu za Saido na Kibu kucheza muda wote ule!Wakuu,

Wewe ni moja ya shabiki maandazi. Hivi ungekuwa shabiki wa Uto si ungezikwa Mayele kuondoka? Imagine Simba waondoke wachezaji tegemeo tena waende Azam na Yanga, MO angepokea matusi mangapi?Hakukua na sababu za Saido na Kibu kucheza muda wote ule!
Saido ni kati ya wachezaji walioharibu move toka kipindi cha kwanza, control na pass zake ni za hovyo
Tatizo la coach na sub ...Wewe ni moja ya shabiki maandazi. Hivi ungekuwa shabiki wa Uto si ungezikwa Mayele kuondoka? Imagine Simba waondoke wachezaji tegemeo tena waende Azam na Yanga, MO angepokea matusi mangapi?
Imagine Yanga wana matumaini na akina Skudu pamoja na mchezo mbovu mno siku ya wananchi. Acheni ushabiki maandazi.
Ulisomea Ukocha wapi?Hakukua na sababu za Saido na Kibu kucheza muda wote ule!
Saido ni kati ya wachezaji walioharibu move toka kipindi cha kwanza, control na pass zake ni za hovyo
Maswala ya kumuacha Phiri wewe hayakuhusu......Tatizo la coach na sub ...
Coach na Phiri, Kibu na Saido halijaanza jana, toka msimu uliopita alikua hivyo!
Ni haki washabiki wa simba kutoa maoni yao( kulalamika). Kama Phiri hafai wamwache aondoke! Hakukua na sababu yoyote ya Msingi ya Saido kurudi Sec half, Ni mchezaji mwenye makosa mengi uwanjani.
Mechi yenu imeishaje leo?Kocha wenu hana sababu yoyote ya kumweka nje phiri dk zote 90' kwenye friend metch na kumwanzisha Kibu.
Kocha wenu ana penda wachezaji wenye matumizi makubwa ya Nguvu ndio maana hata Ngoma hawezi kuwa ana mwanzisha ata Chama ana bahati mashabiki wali mpambania la sivyo tungesha msahau.
We umepita kwa kila mwanachama wa uto kusikiliza maoni yao baada ya mayele kuondoka?.Wewe ni moja ya shabiki maandazi. Hivi ungekuwa shabiki wa Uto si ungezikwa Mayele kuondoka? Imagine Simba waondoke wachezaji tegemeo tena waende Azam na Yanga, MO angepokea matusi mangapi?
Imagine Yanga wana matumaini na akina Skudu pamoja na mchezo mbovu mno siku ya wananchi. Acheni ushabiki maandazi.
Leo tulikua tunamwangalia mtani je! Kabadilika? Nadhani jibu umeshalipata, Yanga wamepiga hatua sana ili unielewe subiri mechi za Tanga.Mechi yenu imeishaje leo?
This is maturity. mashabiki ndiyo wanaziharibu teams zetu. Uongozi umefanya nafasi yake, mashabiki wakahamasika na kujitokeza kwa wingi, kwanini wasimuache coach afanye kazi yake?Wakuu,
Imagine leo Simba pamoja na mafanikio ya kila aina ikiwemo ushindi na mpira safi leo alafu kuna mashabiki wanalalamika kwamba kocha kwanini hampangi Phiri!
Kweli game ya bonanza, pamoja na mafanikio yote tunaanza kuhoji kwanini leo Phiri hajacheza? Hivi tunajiona sisi ni zaidi ya Barcelona? Hivi tunafikiri kocha haoni maoni yenu ya kifala? Mnataka tubadili kocha tena kizembe kisa Phiri hajapangwa?
Hapa niwasifu mashabiki wa Yanga, kiukweli wamejaa ukomavu ambao ni wa kipekee sana. Hivi tungegeuza upande leo Simba kungekalika kweli? Pamoja na hamasa tuliyonayo mashabiki wa Simba lakini tumejaa ujinga wa kushangaza sana!
Tuache ujuha, ujinga, na upunguani! Hatuna timu ya dhahabu kiasi ya kufanya tujione tunapaswa kufanya miracles za mbinguni. Tuuunge mkono timu na viongozi na kuacha malalamiko ya kipuuzi hasa kwa kocha.
Hii ni kwa mashabiki maandazi!!!.
Simba #nguvumoja
Mashabiki hawafanani....Wakuu,