Team Vyura FC, thread yenu hii 🤒🤒,Team inaweza kupost mazoezi
Likatokea shabiki lina comment " yanga wana majini mjipange, mara mbumbumbu, mara ujinga gani, mara waziri katuzuia tusivae jezi kuwashangilia"
Wacha tuishi nao hivo hivoWatakuambia huwanunulii bando hivyo usiwapangie matumizi....
Mtu anatoa siri za nyumbani kama sijui Ahly au Mamelod wakishinda yeye atapata nini.Yani acha kabisa..Tanzania vijana wengi hawana kazi...wakifanya uchawa ki hela wanachopata wananunua bando kutwa kuongea pumba mitandaoni...
CC. Labani og
Kustaarabika ni muhimu kwani team zisizoongoza tumezizidi niniAcha dharau mkuu,hao mashabiki wenye shobo ndio wanaofanya team zetu ziongoze kwenye socia
Kabla hatujaanza kutoa elimu ya mitandao tuanze na matumizi sahihi ya simu,Kipindi hiki mashabiki wa Simba na Yanga tumevamia page za Mamelodi na Ahly kwa shobo na mbwembwe
Watu wanaweka commet, hadi ukichungulia unaona hivi hawa watu wanatuonaje watanzania tunaonekana malofa mno
Team inaweza kupost mazoezi likatokea shabiki lina comment " yanga wana majini mjipange, mara mbumbumbu, mara ujinga gani, mara waziri katuzuia tusivae jezi kuwashangilia"
Yani Watanganyika tupo kama mazuzu, hatuna ustaarabu wengi ni mapoyoyo
Kabla ya draw Mamelod walikuwa wakipost hawazidi comments 50 ila kwa sasa wakipost comments zinafika zaidi ya 5000 na wanaocomment ni Watanganyika wapumbavu wala Wazulu hawana habari na Mamelod ila wabongo ni kubwabwaja kama malofa
Nadhani serikali itoe elimu sahihi juu ya matumizi sahihi ya mitandao, tupunguze japo kutia aibu huko duniani
Muwe na wasaa mwema
Sent using Jamii Forums mobile app
Issue sio kujazana kwenye page shida ni aina ya comments, matusi na ujinga ujinga plus imani za kishirikina ina maana bongo ndio kuna muamko wa mpira kuliko nchi zingine mbona huwezikuta matusi kwenye page za timu za Ulaya?Mpira ni biashara na products ni mashabiki.
Simba na Yanga tuna utamaduni wetu ambao napendezewa nao ndio maana huwa nakuwa na mashaka na watu wanaosema Simba na Yanga ni Derby ya tano África.
Watu kujazana kwenye pages za timu ambazo zinajiandaa kucheza na timu zetu naona ni kitu kizuri.
Hiyo ndio nzuri sema unaiona simple kwasababu haifanyiki kwako.
Kwanza inainesha kuwa Taifa letu lina mwamko wa watu kupenda mpira.
Vipi ungeona Al Ahly na Mamelodi wakijazana kwenye pages za Simba kama hivyo we ungejiskiaje?
Lazima uwe proud.
Basi pamoja na kwamba hiki kitu kwako unakiona cha kishamba lakini wao Mamelodi wanakifurahia na kweli kinawasaidia katika kujitangaza
So siku nyingine hata ikitokea mnaomba friend match kwenye siku ya mwananchi watakuwa rahisi kuwakubalia kwasababu wanaijua nguvu yenu.
Wewe huoni hiyo ni faida kwao mitandao yao imechangamka.Kipindi hiki mashabiki wa Simba na Yanga tumevamia page za Mamelodi na Ahly kwa shobo na mbwembwe
Watu wanaweka commet, hadi ukichungulia unaona hivi hawa watu wanatuonaje watanzania tunaonekana malofa mno
Team inaweza kupost mazoezi likatokea shabiki lina comment " yanga wana majini mjipange, mara mbumbumbu, mara ujinga gani, mara waziri katuzuia tusivae jezi kuwashangilia"
Yani Watanganyika tupo kama mazuzu, hatuna ustaarabu wengi ni mapoyoyo
Kabla ya draw Mamelod walikuwa wakipost hawazidi comments 50 ila kwa sasa wakipost comments zinafika zaidi ya 5000 na wanaocomment ni Watanganyika wapumbavu wala Wazulu hawana habari na Mamelod ila wabongo ni kubwabwaja kama malofa
Nadhani serikali itoe elimu sahihi juu ya matumizi sahihi ya mitandao, tupunguze japo kutia aibu huko duniani
Muwe na wasaa mwema
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbwana Samata alijuta na wabongo walichomfanyia kwenye page ya aston villa, yule msanii wa Nigeria ndio aliamua kututukana kabisaNyerere alituweza kwenye lugha tungejua English ingekua zaidi ya hapa, kwenye pages za watu hadi hua naona aibu
N:b moja ya sababu zilizo changia Samatta kudondoka Aston villa ni matusi na comments za kijinga kwenye page yao
Hii ndio ilibidi iwe title tena ungebold kwa herufi kubwatupo kama mazuzu
Ushabiki bila ustaarabu ni uhuniMpira ni biashara na products ni mashabiki.