Si kweli hili wala si kombe la mbuzi. Kombe la mbuzi ni la jumanne ambalo Moyez ameamua kuwekeza ili kuwaghilibu mashabiki na wapenzi wa Man UTD kwa kuchezesha leo kikosi cha pili huku akijua wazi ameweka record mbaya na mbaya kabisa ya mechi za nyumbani.
Kwenye soka huwezi kulikana kabila lako au huwezi sema kuanzia leo mimi ni mhindi wakati ulikuwa mzigua.
Ila kama ni nyumba imekamilika ikiwa na mtaji wa mashabiki wanaokaribia bilioni moja duniani. ni swala tu la hawa wawekezaji 'uchwara' kutoka marekani waondoke waingie watu na fedha zao.