dah umeweka mfano hovyo kweli, pole kwa kuwa frustrated... sasa yupi atakua demu wangu hapo, asenane, ma-sista au mancity??
hebu pata za uso hapo toka kwa mbaraka mwishehe
View attachment 39844
SherrifHongereni sana wazee wa Merseyside a.k.a The Kop najua record yenu sio mbaya lakini mna safari ndefu ya kuzirudisha enzi za Bill Shankly
18 league titles (Manure 19)
5-time UEFA Champions league winners (Manure 3)
Hongereni sana wazee wa Merseyside a.k.a The Kop najua record yenu sio mbaya lakini mna safari ndefu ya kuzirudisha enzi za Bill Shankly
18 league titles (Manure 19)
5-time UEFA Champions league winners (Manure 3)
Sherrif
naona povu linamtoka mtu aisee..............
Aha hah hah aaaaa !!!!!! This Morning,
Ferguson's Wife wakes him up and says
" Honey, please wake up , it's 7 "
Ferguson replies, Eh have they scored again???
<o😛> </o😛>
Kwi kwi kwi kwi kwi!!!!!!!
Hao ndo wasahau kabisaaa, yaani capt Gerald tangu anaanza soka hadi atafikia kustaafu hajainua ndoo ya EPL!