Mashabiki wa Diamond njooni muone

hicho kikaragosi cha kushoto ndio chenyewe...
 
Mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe,uwezi kuurushia mawe mti usio na matunda.na ndo mana hatukuongelei/kukuandika wewe hauna kitu cha sisi kukuongelea ila Daimond anacho wewe huna na hata ungejichora watu wangeulizana huyu nani na ndo mana picha ya pili watu wanauliza huyo nani????? OBAMA ANACHORWA NA ANAENDELEA KUCHORWA.kwann????????? KIKWETE/PINDA/MAKINDA/WASSIRA/MKAPA /ZITTO/ N.K wote hawa wanachorwa kwann wanachorwa ???????????????? kwssbb ni maarufu jamii inawajua.ukiona MSANII AU KIONGOZI HAZUNGUMZIWI BASI HANA JIPYA HANA KITU CHA TOFAUTI NA WENGINE ( kama wasanii wako/wenu nani atapoteza muda wake kumchora kama katuni ana nini ktk jamii ???????) njooni na matusi sijui nini ila ukweli ndo huo
 

may be can be true!
 
Ukisikia tripu kokoto tripu mchanga basi huyu bidada Wema aka Madame.
 
Huyo mchoraji kuna kitu kakipatia vizuri sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…