M Mullocoz Member Joined Feb 10, 2014 Posts 23 Reaction score 2 May 11, 2014 #1 Jaman majina ya waliopita kwenye usaili wa sajini zimamoto vipi mbona kimya? illegal migrant said: wewe watu mbona wameitwa kazini angalia majina kwenye tovuti ya wizara ya mambo ya ndani Ministry of Home Affairs - Home Click to expand...
Jaman majina ya waliopita kwenye usaili wa sajini zimamoto vipi mbona kimya? illegal migrant said: wewe watu mbona wameitwa kazini angalia majina kwenye tovuti ya wizara ya mambo ya ndani Ministry of Home Affairs - Home Click to expand...
illegal migrant JF-Expert Member Joined Oct 18, 2013 Posts 1,277 Reaction score 1,121 May 11, 2014 #2 wewe watu mbona wameitwa kazini angalia majina kwenye tovuti ya wizara ya mambo ya ndani Ministry of Home Affairs - Home
wewe watu mbona wameitwa kazini angalia majina kwenye tovuti ya wizara ya mambo ya ndani Ministry of Home Affairs - Home
M mattnard Senior Member Joined Oct 14, 2012 Posts 106 Reaction score 32 May 11, 2014 #3 illegal migrant said: wewe watu mbona wameitwa kazini angalia majina kwenye tovuti ya wizara ya mambo ya ndani Ministry of Home Affairs - Home Click to expand... bado hayo yaliyotoka hayakuwa ya sajini
illegal migrant said: wewe watu mbona wameitwa kazini angalia majina kwenye tovuti ya wizara ya mambo ya ndani Ministry of Home Affairs - Home Click to expand... bado hayo yaliyotoka hayakuwa ya sajini
C charles.ludovick Member Joined Dec 26, 2012 Posts 63 Reaction score 9 May 12, 2014 #4 Ya sajini na konstebo bado kiongozi.
illegal migrant JF-Expert Member Joined Oct 18, 2013 Posts 1,277 Reaction score 1,121 May 12, 2014 #5 jaribu kucheki
illegal migrant JF-Expert Member Joined Oct 18, 2013 Posts 1,277 Reaction score 1,121 May 12, 2014 #6 cheki hapa
zablon07 Member Joined Nov 23, 2011 Posts 71 Reaction score 8 May 12, 2014 #7 Tunaosubiri ni wengi sana!!! Mungu atusaidie tu, mtaani panachosa sana! Bora tukateseke kwa miezi kadhaa tu......
Tunaosubiri ni wengi sana!!! Mungu atusaidie tu, mtaani panachosa sana! Bora tukateseke kwa miezi kadhaa tu......